Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,598
Yashazoea kula vibudu kwa bei chee...mimi napapenda sana pale Kilimanjaro haswa kwa mda wao wa kula kuepusha usumbufu wa watu kula ndan ya bus,pia kujaza mizigo ndani ya bus n.kNadhani 7000 ni bei halali sana ukizingatia ubora na usafi wa chakula na hoteli. Kumbuka Kilimanjaro ni basi lenye ubora hivyo wewe unapochagua basi hilo unajua umechagua a high end service. Safari ni ndefu zaidi ya masaa 10 hivyo usalama wa afya yako ni muhimu.
Pia tusipende kuweka comparison ya bei za dar na mombo pengine malighafi zingine , hidden costs zipo nyingi hivyo kupeleka uongezekaji wa gharama.
Wale hata ukinunua machungwa yanasweka kwenye buti