Bei ya vyakula "Kilimanjaro Fast Food" pale Mombo si rafiki

Bei ya kawaida sana hiyo..wote mnaolalamika humu nyie ni wapitaji tu na sio wachaga,wachaga hatulalamikii bei ya chakula bhana sisi tunajali ubora wa chakula na usafi...unataka nile mataputapu kama hotel zenu za chato ili nisumbuliwe na tumbo la kuhara kisa nini??
Tunajali afya hata magari yanakuja kuja kaskazn ni mazuri sio kama mikweche yenu uko kanda ya ziwa (CCM).gari zetu ni daraja la juu,hatutaki ujinga ukishindwa bei beba vitumbua vyako na maji ya kiroba

Una element za ukabila tu hayo magari wanapanda wachaga tu! Narrow minded!
 
Ule wali mbovu vile wa rockhill utaufananisha na wali wa kwa mzee mwamedi pale dar express au hill breeze restaurant
Me naona bei ya pale ni kawaida sana ukilinganisha na msosi unaokula hapo,we ingia rock hill ndani gonga wali samaki au chipsi nyama,ndizi nyama uone chakula chao kilivyo kizuri na imeandaliwa ktk mazingira mazuri na ya kuridhisha"yani always nikiwa nasafiri dar-arusha me napandaga magari ambayo najua ntaenda kula hapo na bei sio mbaya 7000 tu so tupunguze kulalamika.
 
Customer service nzuri

Hayana uswahili

Yanaenda mwendo mzuri

Yanaanza safari kwa wakati

Sio kama mabus mengine yana act kama daladala kila stand yanapiga debe

Kwa route ya dar arusha.. Kilimanjaro yupo vizuri sana
Wapo slow sana.

Wengine tunapenda speed
 
Mimi nikisafiri ni mwendo wa kujihami na matunda na vi keki keki tu hapa apke pale ndizi na chenza flan halaf nina ka chocolate keki kangu au buns niko vyema tu na isitoshe mabasi nitumiayo ni yale yanayogawa maji na juice so am always good when travelling ,hayo mambo ya kulakula njian mbali na vituo vya afya unaweza kuanza pra pra pra !au kufanyiwa ujambazi wa bei!
Wacha wee mwanaume wa dar huyoo ktk ubora wake
 
Watu wanapenda ushabiki sana kuliko uhalisia.Mimi pale singida kuna sehem tulipitishwa kula pako very local lakini soda take away 1500 kwa hasira nilirudi kwenye gari huku nikiwasikitikia
Route ya Mwanza nikifika Shy town tu ndo huwa nakula (msosi) ,rodini nakula crips,soda na karanga.

Singida sio sehemu salama kwa wallet yako.
 
Write your reply...chips kuku za kilimanjaro ni za hovyo kbs. Ni bora ule makange na ugali kwenye lile jiko la nyuma. Makange na ugali elfu kumi.
 
Ukiwa njiani kuelekea Arusha-Dsm/ Dsm-Arusha .. sasa Magari Mengi yanapita Pale Hotel Mpya Ya Kilimanjaro.

Hakika Bei ya Vyakula waliyoweka Si Rafiki kabisa Kwa msafiri na nnadhani wanakomoa kwa Vile Msafiri anakua hana Option Mbadala.

COUPON YA CHIPS KUKU POTION /NYAMA FINYANGO TANO NI Tsh 7000/=

Kumbuka Kuku wanamgawa mara nne.

MISHKAKI YENYE VINYANGO NNE HAFIFU NI TSH 2000/=.

SAMBUSA/MAANDAZI NI TSH 2000/=
Utaishia kicheka ukiziona.
Imepelekea mpaka wale jamaa wanaouza matunda maeneo yale nao kua na Bei Juu .
Kamfuko ka Machungwa ni Tsh 5000/= . ...
Ipo haja ya Bei hizi kuingiliwa na mamlaka husika , wakiachiwa ipo siku tutauziwa andazi Tsh 5000/=
Na wasipolitizama Hili kwa Haraka , italeta Athari mpaka kwnye magari yanayopita pale.
087cbc8680fe2ac39dd9750bcbd15b69.jpg

kwani lazima ikisimama bus lazima ule nyie ndio mnalazimisha basi kusimama sehemu hatari tumbo linakuuma umevimbewa huo ni uroho tu unashindwa kuvumilia masaa kufika nyumbani. muislamu anavumilia masaa 14 mwezi mzima wewe masaa tu
 
Back
Top Bottom