Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

Mleta mada ingependa ufahamu kuwa kwa sasa
Voice Call haina dili tena kama INTERNET
Na bado siku zijazo INTERNET BUNDLE itazidi kupanda saaana
Leo kujiunga VOICE CALL ya 500 unapata dakika zaidi ya 50
Lkn bando mia5 Mb 90
Kwanza hapa Kwetu TZ ni bei rahisi saaana jaribu kuulizia kwa majirani zetu Uganda huko bando hazishikiki Uganda sh1000 unapata MB20
Tukienda Nchi za MIDDLE East ndio balaa DIRHAM 100 unapata 1GB
Dirham 100 ni sawa na 50.000 Tshs, ndio maana huko makwao wanatumia INTERNET KWA KUPITIA WIFI TU
Ukiwa sehem hakuna WIFE Free hapo haupo ONLINE ktk Maswala ya INTERNET

Ningeshauri tu watanzania wenzangu tuacheni tabia za kujilizaliza hovyo pasipo na sababu za msingi[emoji1321]

Wahenga walishamaliza kwa kusema
“UKIMWONA ALIE JUU YAKO UTAKUFURU KWA MUNGU,NA UKIMWONA ALIEKUWA CHINI YAKO UTASHUKURU KWA MUNGU”[emoji1321]
tushukuru mungu kwa lipi wakati serikali yetu imetoa pesa nyingi kwenye mkonge wa taifa? unajua maana ya uwepo wa mkonge huo? maan yake mawasiliano tupate kwa bei nafuu...
 
mbona m nnayo iyo offa mkuu sema ni kwa watu wachache lakin
[emoji111] [emoji111] [emoji111] hongera mkuu kwa kuwa mteule.HATUNA CHA KUCHANGIA KWENYE UZI HUU LABDA KUWAPA WATU MOYO TU .
 
sasa nini maan ya kuweka pesa nyingi kwenye mkonge wa taifa wakati huduma za mitandao zinazidi kuwa juu? shithole country ni aki kuitwa ivyo
 
Wadau wanadai EA, Tz ndio yenye data bei chee! 😳🙄
na mimi nilicheki. hii ni jambo jema na inabidi izidi kushuka ikiwezekana. wasitumie kama kigezo cha kupandisha bei. kwenye information age data inatakiwa isiwe kitu cha kuumiza kichwa.
 
Hizo mb data hayo makampuni ya simu siyo kwamba wanazizalisha wenyewe bali wanazinunua toka nadhani tcra au mkongo wa taifa ambao ulikabidhiwa kwa ttcl. Cha muhimu kujua ni bei wanazonunulia ili tulinganishe na hii bei wanayotuuzia ili kujua kama wanatunyonya sana.

Hizi bei zitakaa vizuri baada ya kuimarika shirika letu la ttcl na kusambaza data cables toka mkongo wa taifa hadi majumbani na maofisini. Mobile data na wifi data ni ghari sana ukilinganisha na data cable services. Taratibu tutafika huko kabla ya 2025 nchi yetu itakapofikia uchumi wa kati wa viwanda.
 
kataa kuwa kaa ...nyie makampuni yanastawi hlf mnataka kususia huduma tena ....mpk tuwakamue jivi la mwsh
 
Back
Top Bottom