Bussiness Man
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 213
- 244
Serikali ndio wasimamizi wa makampuni
Ttcl labda uishi kinondoni lkini bado internet yao ipo slow sana awanatofauti na airtelWapo vizuri mkuu?
Hii ni bei ya vifurushi vya internet kwa mitandao ya simu ya Vodacom, TIGO, Halotel na AIRTEL kwa gharama ya shilingi 500 kwa siku ya leo trh 11/02/2020.
Kwa shilingi 500 utapata
MB150 (AIRTEL)
MB70 (TIGO)
MB70 (vodacom)
MB 100 (Halotel).
Maoni yangu.
Haya makampuni ya simu yanatengeneza faida kubwa sana kwenye miamala ya simu,yana uwezo mkubwa sana wa kujiendesha kwa faida kwa biashara moja tu ya huduma ya kifedha achilia mbali faida inayotengeneza kwa huduma nyingine kama voice.
Kwa wastani mtanzania ananunua data MB 90 kwa shilingi 500.
MB 90 ni kiasi kidogo sana ambacho hutakiwi hata kwa bahati mbaya ukafungua GIF au kupita YouTube kwa bahati mbaya.
Kampuni za simu acheni tamaa ya kutengeneza faida kubwa,tunajua mnaweza kutupa bure hizo data,sisi hatutaki bure tunataka kununua angalau MB 500 kwa jero.
Hakuna kitu kama iko, ,, labda hao Vodacom kidogo huwa me nanunua GB3 kwa elfu mbili kwa siku tano, na iyo offer nadhani sio kwa watu woteLabda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku.
WEWE bilashaka ni mnufaika wa hayo makampuni ya kiwiziMleta mada ingependa ufahamu kuwa kwa sasa
Voice Call haina dili tena kama INTERNET
Na bado siku zijazo INTERNET BUNDLE itazidi kupanda saaana
Leo kujiunga VOICE CALL ya 500 unapata dakika zaidi ya 50
Lkn bando mia5 Mb 90
Kwanza hapa Kwetu TZ ni bei rahisi saaana jaribu kuulizia kwa majirani zetu Uganda huko bando hazishikiki Uganda sh1000 unapata MB20
Tukienda Nchi za MIDDLE East ndio balaa DIRHAM 100 unapata 1GB
Dirham 100 ni sawa na 50.000 Tshs, ndio maana huko makwao wanatumia INTERNET KWA KUPITIA WIFI TU
Ukiwa sehem hakuna WIFE Free hapo haupo ONLINE ktk Maswala ya INTERNET
Ningeshauri tu watanzania wenzangu tuacheni tabia za kujilizaliza hovyo pasipo na sababu za msingi[emoji1321]
Wahenga walishamaliza kwa kusema
“UKIMWONA ALIE JUU YAKO UTAKUFURU KWA MUNGU,NA UKIMWONA ALIEKUWA CHINI YAKO UTASHUKURU KWA MUNGU”[emoji1321]
kuna mbunge alilionglea kipindi fulani kama sijakosea alikuwa Mh Ridhiwani Kikwete, ila nahisi halikufanyiwa kazi. Ila kwa ushauri nadhani tupunguze matusi mitandaoni nahisi hichi ni moja sa sababu za kubanwa kwa mb (kwa mawazo yangu tu lakini, naweza kupingwa/kukosolewa)Umeongea ukweli,, lakini unafikiri nani wakututetea kwenye utawala huu wa ccm,,, hao viongozi ambao ndio ilipasa wawe watetezi wetu,,wana hisa kwenye hayo makampuni, na kwa huyu mkuu wa nchi hasivyopenda mitandao,, tutauziwa MB 10 Kwa jero
kuna mbunge alilionglea kipindi fulani kama sijakosea alikuwa Mh Ridhiwani Kikwete, ila nahisi halikufanyiwa kazi. Ila kwa ushauri nadhani tupunguze matusi mitandaoni nahisi hichi ni moja sa sababu za kubanwa kwa mb (kwa mawazo yangu tu lakini, naweza kupingwa/kukosolewa)
Sawa kabisa maaana huko mafuta bei chini juliko majiHizo hadithi za midle east sisi zinatuhusu nini?
Mtu anajikuna anapowashwa.
Je sera ikitolewa ya gbfree utaleta ngebe za mataifa yasiyokuhusu?
Labda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku.
Basi hao jamaa nchi nyingine wana hatar sanaWadau wanadai EA, Tz ndio yenye data bei chee! 😳🙄