Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

Voda Mb 5012
Kwa mwezi mchanganuo
1 gb saa 12 asubuhi mbaka 4 usiku
4 gb kuanzia saa 4 usiku mbaka 12 alfajili
hata ttcl wanacho hicho kifurushi lakini akina maana yeyote utajitahidi sana kutumia hiyo 1 gb labda siku 3 baada ya hapo eti usubiri mbaka saa 4 usiku ndio uwe on line internet si unapitwa na mambo mengi ya dunia hii.
 
Hii ni bei ya vifurushi vya internet kwa mitandao ya simu ya Vodacom, TIGO, Halotel na AIRTEL kwa gharama ya shilingi 500 kwa siku ya leo trh 11/02/2020.
Kwa shilingi 500 utapata
MB150 (AIRTEL)
MB70 (TIGO)
MB70 (vodacom)
MB 100 (Halotel).
Maoni yangu.
Haya makampuni ya simu yanatengeneza faida kubwa sana kwenye miamala ya simu,yana uwezo mkubwa sana wa kujiendesha kwa faida kwa biashara moja tu ya huduma ya kifedha achilia mbali faida inayotengeneza kwa huduma nyingine kama voice.
Kwa wastani mtanzania ananunua data MB 90 kwa shilingi 500.
MB 90 ni kiasi kidogo sana ambacho hutakiwi hata kwa bahati mbaya ukafungua GIF au kupita YouTube kwa bahati mbaya.
Kampuni za simu acheni tamaa ya kutengeneza faida kubwa,tunajua mnaweza kutupa bure hizo data,sisi hatutaki bure tunataka kununua angalau MB 500 kwa jero.
Mkuu mbona mimi kwa 500 napata mb 300 siku kumi (voda )
 
eb480adb9ac1bade9a27d0aae944f22e.jpg

Haiya sasa wakuuu ina maana hakuna mwenye hizo hapo
 
Labda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku.
Mkuu hakuna line ambayo iko slow kama airtel ni bora ukatumia tigo ikiwa EDGE kuliko airtel 3g halafu wanatoa ofa nyingiiiiii .huuu ni ujinga wa karne
 
Back
Top Bottom