Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

Bei ya vifurushi vya Internet leo trh 11/02/2018

Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia
Kama upo dar ttcl ndo the best kwenye unafuu wa bundles za internet..500tsh mb 800..pia speed inafaa
 
Labda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku.
unafanyaje kupata hiyo gb1
 
Kwa sasa huduma za TIGO zimekaa ki-tigo, yaaani ni very ovyo hakuna cha 4G ni wizi mtupu
 
Back
Top Bottom