Roadmap
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,898
- 5,797
Wakuu Nichukue nafasi hii kuwapongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Esim akiwa wa Pili baada ya airtel kutangulia Miezi kadhaa iliyopita ni hatua nzuri sana, Sasa ni wakati wa tigo na Halotel kuleta hii huduma pia
Faida za Esim unaweza kuwa na Line Kumi kwenye Simu moja, Kama simu yako ni Dual utakachokuwa unafanya ni Kuswitch tu Mtando upi unaona mahala hapo coverage yake ipo Super, Mfano mimi namba yangu Kuu ni TTCL hio ndio nafanyia Mawasiliano ya Sms na calls ila linapokuja swala la Internet ntaswich mtandao wowote kutegemea na Eneo nilipo na Coverage, Faida ya Esim ni kuwa namba za mitandao yote zitakuwa kwenye Simu yani simu inaweza kuwa na Line 5 za mitandao yote, Ijapo ntaswitch Line Mbili at a time