Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.

Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Aya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.

View attachment 2691984
Mnkondya anasemaje ?
 
Aibu vipi tena wakati soko ndio linaamua?
 
Watu hawaelewi na hawajifunzi.

Ukiitwa kwenye fursa wewe ndo fursa.
Tujiulize kwanini MO, AZAM, Azania,Camel, Oilcom, Lake Oil, GSM, FSM, HHL, Cello

Hawaiti watu kwenye fursa na wao ndo matajiri?

Inabaki pale pale, hawawezi kukuita wakati wana neemeka, ukiitwa jua waenda lizwa
Hakuna mtu ambaye hajui kina Azam wanachofanya bali barrier of entry ndio inayowazuia; huenda leo wewe ukapata chimbo la weze cheaper kuliko Lake Oil ila sababu hao wameshachukua locations nzuri nzuri na wateja wa muda mrefu wewe mpaka wateja wakugundue mkopo wako usha-mature na nyumba zako kuuzwa....

Anyway mkulima ni mtu wa kunyonywa ulimwenguni kote; kilichopo ni hawa wakulima ku-form cooperatives zao, kwa umoja wao watakuwa na bargaining power, bila hivyo wataendelea kupelekwa na kupelekeshwa na kila mpelekeshaji
 
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.

Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.

Aya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.

View attachment 2691984
Cc mgt software
 
kuna huyu jamaa hizi habari sijui alizipataga wapi
 
Back
Top Bottom