ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,605
- 2,729
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo moja na kwakua Vanilla hailiwi kama chakula inabidi wauze vyovyote ili kuondoa mzigo ndani.
Ni aibu kwa serikali, niaibu kwa CCM na aibubu kwa Wabunge wote wa mkoa wa Kagera, wananchi amkeni hamna watetezi ni mwendo wa kupigania matumbo yao.
Haya yanafanyika huku uongozi wa mkoa upo, Usalama wa Taifa upo na uhuni unafanyika mchana kweupe.