Kujiamini kwingi kulimponza Tenshin Nasukawa katika pambano lake la ndondi dhidi ya Floyd Mayweather Jr

godson Lomayani

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
538
711
Kwa kweli nimecheka sana huu mpambano wa boxing mizunguko mitatu kati ya Floyd Mayweather Jr na Tenshin Nasukawa, dogo huyu kutoka Tokyo Japan, aliingia ulingoni kwa mbwembwe akijiamini kupita kiasi kuking'oa kisiki kukata ngebe za Mayweather.

Lakini haikuwa rahisi kama alivyofikiri mzunguko wa kwanza unaanza baada ya kutambulishwa dogo alianza kwa kujihami na kuwa makini na ngumi za Mayweather zinazotoka kwa kasi kubwa.

Dogo alijitutumua akafanikiwa kumpiga mpinzani wake ngumi moja usoni lakini Mayweather hakujali akawa anacheza pambano lile kimasikhara! alikuwa anapiga ngumi kama hataki vile na zisizokuwa na kasi kama ilivyo kawaida yake, Nasukawa akapata imani anang'oa mwamba ulioshindikana ghafla kibano kikamgeukia alipigwa combination zilizomfanya alambe sakafu mara ya kwanza alihesabiwa na kuamka faster! na kusema yuko timamu kuendelea.

Game liliendelea alijaribu kujibu mapigo lakini alidhibitiwa na Floyd ambaye alimpeleka kwenye angle na kumpiga ya chembe na kumalizia na uppercut iliyompeleka chini dogo kwa mara nyingine, Mayweather alirudi kwenye angle yake na kuanza kucheza rhumba. Dogo alihesabiwa kama kawaida alinyanyuka faster na kusema anaendelea lakini sura ikionyesha dhahiri amepata maumivu makali

Mzunguko wa mwisho Floyd aliamua kummaliza kabisa dogo Tenshin Nasukawa kwa kumpiga konde zito kichwani lililomlambisha sakafu kwa mara nyingine, dogo alihesabiwa kila akijaribu kunyanyuka alikuwa akipepesuka na kwenda chini. Team Nasukawa ilibidi warushe taulo kumusuru kijana wao aliyekuwa akilia kutokana na kisago cha nguvu.

Huku akiendelea kububujikwa na machozi Floyd alikwenda kumpongeza na kumnyanyua mkono wake juu kuashiria kwamba dogo ni mshindi huo ndio ukawa mwisho wa mpambano, lakini niconclude kwa kusema sometimes too much confidence zinaweza kukufanya ushindwe kama ilivyotokea kwa bondia huyu kutoka Japan alijiamini kupita kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli nimecheka sana huu mpambano wa boxing mizunguko mitatu kati ya Floyd Mayweather Jr na Tenshin Nasukawa,dogo huyu kutoka Tokyo Japan,aliingia ulingoni kwa mbwembwe akijiamini kupita kiasi kuking'oa kisiki,kukata ngebe za Mayweather. Lakini haikuwa rahisi kama alivyofikiri,mzunguko wa kwanza unaanza baada ya kutambulishwa dogo alianza kwa kujihami na kuwa makini na ngumi za Mayweather zinazotoka kwa kasi kubwa,dogo alijitutumua akafanikiwa kumpiga mpinzani wake ngumi moja usoni,lakini Mayweather hakujali akawa anacheza pambano lile kimasikhara! alikuwa anapiga ngumi kama hataki vile na zisizokuwa na kasi kama ilivyo kawaida yake,dogo Nasukawa akapata imani anang'oa mwamba ulioshindikana ghafla kibano kikamgeukia alipigwa combination zilizomfanya alambe sakafu mara ya kwanza alihesabiwa na kuamka faster! na kusema yuko timamu kuendelea,game liliendelea alijaribu kujibu mapigo lakini alidhibitiwa na Floyd ambaye alimpeleka kwenye angle na kumpiga ya chembe na kumalizia na uppercut iliyompeleka chini dogo kwa mara nyingine, Mayweather alirudi kwenye angle yake na kuanza kucheza rhumba,dogo alihesabiwa kama kawaida alinyanyuka faster! na kusema anaendelea lakini sura ikionyesha dhahiri amepata maumivu makali,mzunguko wa mwisho Floyd aliamua kummaliza kabisa dogo Tenshin Nasukawa kwa kumpiga konde zito kichwani lililomlambisha sakafu kwa mara nyingine,dogo alihesabiwa kila akijaribu kunyanyuka alikuwa akipepesuka na kwenda chini,Team Nasukawa ilibidi warushe taulo kumusuru kijana wao aliyekuwa akilia kutokana na kisago cha nguvu.Huku akiendelea kububujikwa na machozi Floyd alikwenda kumpongeza na kumnyanyua mkono wake juu kuashiria kwamba dogo ni mshindi huo ndio ukawa mwisho wa mpambano,lakini niconclude kwa kusema sometimes too much confidence zinaweza kukufanya ushindwe kama ilivyotokea kwa bondia huyu kutoka Japan alijiamini kupita kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
maonyesho ya toyota yale siyo boxing
 
Kwa kweli nimecheka sana huu mpambano wa boxing mizunguko mitatu kati ya Floyd Mayweather Jr na Tenshin Nasukawa, dogo huyu kutoka Tokyo Japan, aliingia ulingoni kwa mbwembwe akijiamini kupita kiasi kuking'oa kisiki kukata ngebe za Mayweather.

Lakini haikuwa rahisi kama alivyofikiri mzunguko wa kwanza unaanza baada ya kutambulishwa dogo alianza kwa kujihami na kuwa makini na ngumi za Mayweather zinazotoka kwa kasi kubwa.

Dogo alijitutumua akafanikiwa kumpiga mpinzani wake ngumi moja usoni lakini Mayweather hakujali akawa anacheza pambano lile kimasikhara! alikuwa anapiga ngumi kama hataki vile na zisizokuwa na kasi kama ilivyo kawaida yake, Nasukawa akapata imani anang'oa mwamba ulioshindikana ghafla kibano kikamgeukia alipigwa combination zilizomfanya alambe sakafu mara ya kwanza alihesabiwa na kuamka faster! na kusema yuko timamu kuendelea.

Game liliendelea alijaribu kujibu mapigo lakini alidhibitiwa na Floyd ambaye alimpeleka kwenye angle na kumpiga ya chembe na kumalizia na uppercut iliyompeleka chini dogo kwa mara nyingine, Mayweather alirudi kwenye angle yake na kuanza kucheza rhumba. Dogo alihesabiwa kama kawaida alinyanyuka faster na kusema anaendelea lakini sura ikionyesha dhahiri amepata maumivu makali

Mzunguko wa mwisho Floyd aliamua kummaliza kabisa dogo Tenshin Nasukawa kwa kumpiga konde zito kichwani lililomlambisha sakafu kwa mara nyingine, dogo alihesabiwa kila akijaribu kunyanyuka alikuwa akipepesuka na kwenda chini. Team Nasukawa ilibidi warushe taulo kumusuru kijana wao aliyekuwa akilia kutokana na kisago cha nguvu.

Huku akiendelea kububujikwa na machozi Floyd alikwenda kumpongeza na kumnyanyua mkono wake juu kuashiria kwamba dogo ni mshindi huo ndio ukawa mwisho wa mpambano, lakini niconclude kwa kusema sometimes too much confidence zinaweza kukufanya ushindwe kama ilivyotokea kwa bondia huyu kutoka Japan alijiamini kupita kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano lile lilikua ni wizi wa pesa za watu, kama maywether angeamua kupigana kwa uhakika basi dogo angekua amelazwa hospitali. Dogo akua na sifa za kupambana Maywether.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui boxing. Umehadithiwa ukaja kufungua uzi. Hakukuwa na kitu pale.... Yake yalikuwa maonesho tu na kufurahisha watu wenye pesa huko Japan. We umekaa ukafikiri likikuwa pambano la maana. Kabla hujajifanya mchambuzi soma kwanza au uliza kwa wanaojua. Unakuja kujaza nzi tu hapa.
 
Kweli Mkuu yule Tenshin Nasukawa hana kiwango cha kupigana na Team Money.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli.
Huyo dogo hajapitia suluba yoyote ngumu.
Mayweather alimpiga hadi bondia nguli Oscar De laHoya, Sembuse hako kavulana laini kabisa.
Kajinga sana hako katoto, kanachapwa halafu kanalia njia nzima hadi kanafika nyumbani kwake na kusema kwa mama.
Kapbafu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijiamini sana. Tatizo hajajua mkongwe amepitia mengi ana technique nyingi na mwili umekomaa, sasa yeye bado hajatengeneza profile vizuri anadandia ulingo na maworld champion, au aliangalia sana muvi za ROCKY akajua km Rocky alivyoshinda kwa Apollo basi naye hivyohivyo itatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom