Je McGregor "Notorious" ataushangaza ulimwengu?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,464
21,195
Bondia mwenye uwezo wa hali ya juu ajulikanaye kama Conor MacGregor au Notorious kama anavyojulikana na mashabiki aliyemshawishi Floyd Mayweather "Unbeaten man" kutoka mafichoni alikokuwa na kuamua kurudi tena ulingoni ,je ataweza kuushangaza ulimwengu kwa kumkalisha Floyd ? au na yeye ataungana kwenye msululu wa wana masumbwi walioambulia kipigo kutoka kwa Floyd Mayweather ?

Hili ndilo swali ambalo lipo vichwani mwa wapenzi wengi wa boxing duniani ,ingawaje asilimia kubwa ya mashabiki wa boxing wamempa Floyd Mayweather asilimia kubwa ya kushinda pambano hilo lakini bado kuna kundi kubwa la watu wanaamini Conor McGregor ataushangaza ulimwengu kwa kumgalagaza Floyd Mayweather

Conor McGregor ambaye atatimiza miaka 29 14 July mwaka huu anaamini Floyd Mayweather ni bondia mzuri lakini hilo halimzuii yeye kumpa kichapo Floyd.

Conor McGregor anacheza staili ya Southpaw ,pia amechanganya boxing na Taekwando wakati Floyd anacheza staili ya orthodox .

Floyd Mayweather mwenye umri wa miaka 40 ambaye siku chache zilizopita alimzawadia mtoto wake wa kiume gari la kifahari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 16 aliandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kuhusu mpambano huo ambapo baadhi ya mashabiki wameona kama ni matusi fulani hivi kwa Mc Gregor .

Sasa swali linabaki ,je McGregor ataweza kumkalisha Floyd na kuushangaza ulimwengu kama vile Tyson Furry alivyomfanyia Wladmir Klitshko??

Screenshot_2017-04-09-18-53-41_1.jpg
 
Bondia mwenye uwezo wa hali ya juu ajulikanaye kama Conor MacGregor au Notorious kama anavyojulikana na mashabiki aliyemshawishi Floyd Mayweather "Unbeaten man" kutoka mafichoni alikokuwa na kuamua kurudi tena ulingoni ,je ataweza kuushangaza ulimwengu kwa kumkalisha Floyd ? au na yeye ataungana kwenye msululu wa wana masumbwi walioambulia kipigo kutoka kwa Floyd Mayweather ?

Hili ndilo swali ambalo lipo vichwani mwa wapenzi wengi wa boxing duniani ,ingawaje asilimia kubwa ya mashabiki wa boxing wamempa Floyd Mayweather asilimia kubwa ya kushinda pambano hilo lakini bado kuna kundi kubwa la watu wanaamini Conor McGregor ataushangaza ulimwengu kwa kumgalagaza Floyd Mayweather

Conor McGregor ambaye atatimiza miaka 29 14 July mwaka huu anaamini Floyd Mayweather ni bondia mzuri lakini hilo halimzuii yeye kumpa kichapo Floyd.

Conor McGregor anacheza staili ya Southpaw ,pia amechanganya boxing na Taekwando wakati Floyd anacheza staili ya orthodox .

Floyd Mayweather mwenye umri wa miaka 40 ambaye siku chache zilizopita alimzawadia mtoto wake wa kiume gari la kifahari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 16 aliandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kuhusu mpambano huo ambapo baadhi ya mashabiki wameona kama ni matusi fulani hivi kwa Mc Gregor .

Sasa swali linabaki ,je McGregor ataweza kumkalisha Floyd na kuushangaza Floyd kama vile Tyson Furry alivyomfanyia Wladmir Klitshko??

View attachment 493430
Hapa patamu. Sana hili pambano ni lini mkuuu.??

Ila hapo ni clear kwamba dogo anatakiwa asicheze anavyo cheza Floyd.

Dogo lazima atakuwa na moto na atakuwa na kasi ili ku prove himself na kucheza na mashabiki ( akifanya hivi kapigwa)

Maana Floyd anapenda kuwa Calm sana na kumsoma adui, defenc huwa kali n kucheza na point akion huwezekano wa KO ni mdogo.

Jamaaa anatakiwa ampanikishe Floyd ili nae aanze kwenda na mchezo wake kwa kasi hapo ata weaken defence ya Floyd na kumchapa

....kula yako unampa nani mkuu??
 
Nachomkubali floyd hata bondia awe mzuri kiasi gani akija kwake anachezea kichapo tu kama kawaida ,

So navyoona huyu Conor McGregor au Notorious ataungana kwenye msululu wa wenzake waliochezea kichapo kutoka kwa floyd mayweather (Unbeaten man)
 
Lets wait n seee
 
Conor Mcgregor kwanza atafanya makosa mengi,kwani siyo mchezo aliyouzoea,hivyo hatashinda.Mayweather mjanja sana ashaona pambano litakuwa jepesi..angekuwa na wasiwasi wa kupoteza asingekubali kirahisi hivyo..
 
Floyd atampiga huyo jamaa bila wasiwasi, kwa nn asipigane na akina amir khani, amemchagua huyo mcheza taekwando anajua technical upande wa boxer si mzuri. Ila msisahau pambano la wanaume heavyweight kati ya antony joshua na Vladimir klitschko tarehe 29 mwezi huu.
 
Hapa ndipo anaponikera floyd

Ni muoga sana kwa kweli

Huyu sio floyd wa miaka ile ya tisini.

Floyd wa sasa anachagua sana mtu wa kupigana naye .

Ila hata hivyo Amir Khan hana uwezo wa kumkalisha floyd ni mwepesi sana.

Manny pac yeye hachagui yoyote unayempangia yeye sawa tu.

Ningependa sana kuona pambano lake na Marcos Maidana
 
Conor Mcgregor kwanza atafanya makosa mengi,kwani siyo mchezo aliyouzoea,hivyo hatashinda.Mayweather mjanja sana ashaona pambano litakuwa jepesi..angekuwa na wasiwasi wa kupoteza asingekubali kirahisi hivyo..
Hapa pana kaukweli fulani hivi.

Mayweather ilibidi apewe mtu kama Bradley hivi naona ndio kunge kuwa na kausawa fulani.
 
Ule uwanja una janja janja nyingi sana ambazo zina mwakikishiaga ushindi mayweather. Refer pambano la karne.
Mkuu kama unafatilia boxing kwa karibu na unauelewa mchezo wa boxing si rahisi kusema ule mchezo floyd mayweather alibebwa.

Lile pambano Manny ilibaki kidogo atolewe kwa k.o sema ndo vile tu ukakamavu ulimsaidia
 
Ahahaa....unachekesha sana kijana, yaani umeandika kama mimi sikuona may alivyokuwa anajificha karibia round zote. Akaja kucharuka round ya mwisho. alafu kuna mambo mengi sana yamejificha kuhusu ule ushindi batili moja wapo kubwa ni kamali
 
Dunia nzima mpaka maywether walicheza kamari lile pambano tena nina wasiwasi PAC alishatonywa na kupewa chake kabisaaaaa.......kuna watu walifilisika baada ya lile pambano .......mpaka 50cent alimbetia maywether anashinda lile pambano

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Mayweather 50-0, hili halina ubishi kwa mtu yeyote anayefuatilia masumbwi. Halafu kuna undercards Gervonta vs Fonseca na Tabiti Vs Cunningham (Must watch). Nyingine tano sidhani kama zitafana. Halafu usiku huohuo Cotto atazipiga na Camegai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom