Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

Huyu mcgregor anataka kufa,asfikir kickboxing ndo boxing,..amuulize kaseba,alivyopigwa na cheka,..boxing ni real fights na ni ngumi kweli,yaana mcheza boxing ame concentrate nguv zoote kwenye mikono sasa mtu wa kickboxing ujanja wa kukwepa ngum za uson anao,..unajua kickboxers wanataftaga sifa tu
 
Umebwiya au umevuta....mwalimu wako wa hesabu yupo hai kweli?
Sihitaji kujua kama yuko hai au la. Ila kwa mara ya mwisho nilipocheck, milioni 4, 505, 049 ilikuwa sawa na trilioni 4.5. Ila sikushangai maana uwezo wetu watanzania kielimu ni mdogo sana kwa wastani na ninyi ndio mnachangia.
 
Yaani nikatoe mil4 nikaangalie mtu anakimbia kimbia tu ulingoni badala y kupgana, mamaee
 
Mc Gregory O Connor a.k. a Notorious, hii gemu kwenye boxing ndo yakwanza dhidi ya Floyd Mayweather. Hajawahi kupigwa kwenye mchezo wa mateke na ngumi (Kickboxing ), kaamua kuufukuzia mpunga mrefu kwenye boxing, ujue pambano hilo wanavuta mpunga mrefu mno, ndo maana jamaa kaji-sacrify ingawa hatashinda kutokana na mchezo wa Mayweather wenye ukeraji.
Conor ashapigwa mara tatu,check your records
 
Conor ashapigwa mara tatu,check your records
b42dc51d16cf4bf3722b18d8b60723b8.jpg
 
Huyu mzungu anaonekana ni kauzu zaidi ya dagaa, naamini Floyd anakalishwa Kwenye huu mtanange
 
Back
Top Bottom