Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Kweli hali ni mbaya. Kama uzalishaji wetu hautoshelezi mahitaji hakuna haja ya kuzuia sukari kutoka nje anayeumia ni mwananchi wa kawaida. Lakini pia serikali iangalie kodi inazotoza kwa bidhaa za ndani inakuwa kubwa mno kiasi kwamba hata uzalishaji ukiwa mzuri bei inakuwa kubwa kuliko bidhaa za nje hata kama zitatozwa kodi. Bei kwenye maduka ya jumla sasa inatembea kati ya 105.000/= hadi 108,000/= kwa mfuko wa kg 50 Baadhi ya wafanya biashara wa jumla wameamua kuacha kuuza bidhaa hiyo ili kuepuka usumbufu wa serikali kuwa wanauza bei ya juu wakati bidhaa yenyewe wanaipata kwa bei ya juu. Shida ya viongozi wetu wakubwa ni kuwa huwa slow sana kuact kwakuwa wao wenyewe hawaathiriki moja kwa moja na tatizo hili kwani hawaendi dukani kununua mahitaji. Kila kitu kwao ni bure na hawalipi kodi. Anayehimiza wenzake kulipa kodi yeye ndiyo awe wa kanza kulipa ili awe mfano kwa wengine vinginevyo anakosa udhu. "Ukienda hotelini omba risiti, ukiemba dukani omba risiti..." Mpasua majipu uko wapi wananchi tunaumia!
 
Jamani hawa wafanyabiashara wanatupekeka wapi sisi wenye jipato cha chini yaani walala hoi.!!

Hebu fikiria tangu Serikali itoe tamko la bei elekezi ya Tshs1,800/= kwa kilo, sukari imepanda mpaka imefikia Tshs 2,500/= kwa kilo.!!

Jamani najua humu wapo pia wahusika katika hili, tafadhari sana muuingilie kati na kufuatilia hili la bei ya sukari kuwa Tshs2,500/= kwa kilo badala ya Tsha1,800/= kama tamko la serikali lilivyotolewa.!!

Naomba kuwasilisha na naamini Serikali ya Raisi JPM ni sikivu na italifuatilia hili ili kutusaidia sisi wanyonge wenye kipato duni ili tumudu kupata chai/uji kwa mama ntilie na kwenye familia zetu.!!

unaweza fikiria kutotumia sukari kabisa kwani kiasi cha sukari unachohitaji mwilini upatikana kwenye vitu vingine unavyokula. Sidhani kama sukari ni kitu cha lazima sana.
 
Mwenyewe nipo mkoa wa mbeya jana tu nimeenda dukani nimenunua 2400 na ile mkaa wa 500 umekuwa 1000 tunateseka sana

niggerwhite;
Si wamesema ati kuna Natural gas imegundulika Mtwara na hapo hapo Mkuranga?? Hii gas tunayo ambiwa inafanyiwa mipango ifungwe kwenye majumba yetu, ni hii tunavuta tunataka kuletewa bili au?? Ukiwaza sana ya Tz, Wallah waweza pata kichaa.
Tutatunzaje mazingira wakati wenye uwezo wa kuyafaidi hayo mazingira ni wachache?
 
Kweli hali ni mbaya. Kama uzalishaji wetu hautoshelezi mahitaji hakuna haja ya kuzuia sukari kutoka nje anayeumia ni mwananchi wa kawaida. Lakini pia serikali iangalie kodi inazotoza kwa bidhaa za ndani inakuwa kubwa mno kiasi kwamba hata uzalishaji ukiwa mzuri bei inakuwa kubwa kuliko bidhaa za nje hata kama zitatozwa kodi. Bei kwenye maduka ya jumla sasa inatembea kati ya 105.000/= hadi 108,000/= kwa mfuko wa kg 50 Baadhi ya wafanya biashara wa jumla wameamua kuacha kuuza bidhaa hiyo ili kuepuka usumbufu wa serikali kuwa wanauza bei ya juu wakati bidhaa yenyewe wanaipata kwa bei ya juu. Shida ya viongozi wetu wakubwa ni kuwa huwa slow sana kuact kwakuwa wao wenyewe hawaathiriki moja kwa moja na tatizo hili kwani hawaendi dukani kununua mahitaji. Kila kitu kwao ni bure na hawalipi kodi. Anayehimiza wenzake kulipa kodi yeye ndiyo awe wa kanza kulipa ili awe mfano kwa wengine vinginevyo anakosa udhu. "Ukienda hotelini omba risiti, ukiemba dukani omba risiti..." Mpasua majipu uko wapi wananchi tunaumia!
 
Sio kwamba wataalamu hakuna, ile kauli rais aliitoa public sana, kuna strategy zingine sio za kuweka wazi sana, yy angemwambia wazir mkuu sasaiv vibali vya sukar viwe controlled sana yan iwe ni kujazia deficit tuliyonayo kwenye uzalishaji, sasa yy kapiga ban, hata kama ww ungekuwa mfanyabiashara lazima uta speculate kwa kujua kabisa kutakuwepo na artificial demand hivyo bei kuwa juu ili unufaike. Najua Magu ana nia njema sana ila sasa strategies ndo matatizo.

Quarterpin;
Usitutoe kwenye mada ya leo. Huko tuendako tukumbushe kuwa kuna siku iliwahi kuwa 2500/= Siku hiyo labda serekali itakuwa umetoa bei elekezi kuwa 5000/= per kilo. Tunasema, hiyo bei elekezi ya 1800/= ilikuwa ni ya nchi ya Burundi au Tz?
Kwa nini serekali hii imekuwa ya mihemko zaidi ya ukweli?? Unaposema kuwa tuangalie shs yetu inavyopigwa dhoruba, hao walio toa bei elekezi waliitolea baa wakinywa? Nitakosea nkisema Tz hatuna wana uchumi?? Ntakosea nkisema serekali hii haina Mipango wala mwana Mipango yeyote? Hili nalo ni jipuuuuu
 
Binafsi naamini humu wapo vijana wengi tu ambao wana access ya kufikisha ujumbe huu na kilio hiki kwa Mh. Raisi JPM, tafadhali mwambie Mwananchi wake tuna hali mbaya sana mitaani huku itafikia kipindi tutashindwa kabisa kumudu bei ya bidhaa hii.!!

Najua Raisi wetu ni msikivu na ametuahidi hatatuangusha na pia na sisi ni wakati wa kupunguza maumivu tuliyoyapata kwa miaka nenda rudi.!!
 
mImi niko huku kyele nanunua sukari ya malawi wala sitaki hiyo yenu
 
Jamani bei ya sukari imepanda ghafla hapa Bunda Mara kutoka sh 101,000 hadi 112000 bei ya jumla kwa mfuko wa kilo 50 ambapo bei ya rejareja toka sh. 2200 hadi sh. 2500.
Jamani kwa bei hii ya sukari tutafika?
 
nilalapo nakuota weweee....niamkapo ni heri mama weee....Tz..Tz nakupenda kwa moyo wote
mungu yupo tutafika tu.......
 
Kwani Uji ndio hauweki sukari?...Bora useme Asubuhi tuwe tunakula Ugali tu..
Uji ni wanga, na wanga una sukari ya kutosha sana kwa ajili ya energy. Ukiweka sukari ni anasa za kutaka flavour tu. Thats why diabetic patients hawatumii wanga mwingi..!

Ila chai bila sukari ni maji + caffeine tu.

Bora hata maziwa japokuwa ni waTz wachache wenye uwezo wa kunywa maziwa kila siku.

Ila uji najua wengi wanaweza kuupiga. Unga si tunao bhana..! Nilipokuwa shule nilipiga sana fororo (uji usio na sukari) & nilinenepa mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom