Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Du aisee tunaisoma namba wenyewe wametulia tu kimyaaa wanakula bata tu
 
TAIFA LA WAJAA LAWMA
12805742_1028621737176787_9200205061833630277_n.jpg
 
Tuliposema haiwezekani sukari kuuzwa 1800 walibisha sana,huku kwetu kulikuwa na gari ya manispaa ilikuwa ikipita na kuwatangazia wananchi wasinunue sukari zaidi ya sh.1800.baada ya muda hata sukari ya 2400 unaitafuta..CCM mbele kwa mbele
 
Badala ya kuwa sh.1800 tuliyotangaziwa sasa ni sh.2500..maana yake ni nini?[/QUOT ni ngum sana kuelewa mkuu ila ukihoji watu watakwambia unataka kupinga utendaji wa serikali but huku mtaan hali inazidi kuwa ngum cku had cku
 
Watanzania ni watu wa matukio na hili nadhani ni kwasababu ya elimu.. Watu wanafurahia kutumbuliwa majipu tu lakini wamesahau maisha yao.. Sukari 2600 tumbua baba majipu tumbua
 
Badala ya kuwa sh.1800 tuliyotangaziwa sasa ni sh.2500..maana yake ni nini?
Ni kweli kabisa mkuu. leo asubuhi baada ya kukosa sukari maeneo ya kwa bibi huku tabata segerea, ikabidi niende segerea mwisho. Nimenunua kilo moja ya sukari kwa sh 2500 ambayo imekua packaged
 
Hi ni hujuma ya kundi fulani la watu kwa Serikali. Sukari ni bidhaa inayogusa maisha ya watu wengi wa kada mbalimbali, na maamuzi ya serikali yalikuwa na nia njema kwa wananchi kupunguza bei ya sukari. Je serikali inatambua ya kwamba agizo lake halijatekelezwa?
 
Tusio kunywa chai haya mambo tunayasikia tuu...polen waheshiwa bei ya bia na sukar sasa sawasawa.....duuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom