Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Wenye kujua siasa za ccm tulilijua hilo maana ccm kwenye utendaji wao wanaleta siasa za maji taka hawana jipya hata uwezo wa kufikiri hawana
 
Baada ya serikali kuzuia uingizwaji wa sukari kutoka nje ya nchi nakutangaza kuwa bei isizidi Tsh 2000/= inashangaza kuona kuwa bei ya bidhaa hiyo kwa saa hapa mwanza ni Tsh 2700/= na serikali iko kimya.
Tuliambiwa kuwa sukari ipo tele na hakuna sababu ya kuingiza sukari toka nje, hivi serikali yetu ilikuwa inatulaghai? Kwa ukweli tuliitaka wenyewe wacha tuisome namba.
 
Mkuu hii ni ile ile oooh ni ile ile, kunywa chai siku hizi ni anasa
 
Wenzenu hadi nyuzi za kushonea wanalaumu uagizaji; ubunifu ni tatizo.

Sio kwamba Tanzania ya viwanda aiwezekani hila bila ya mikakati na mazingira sahihi kwa uwezo wa soko watawekeza kwa sababu wameamua hila akutakuwa na mafanikio the costs of doing business is just too high in Tanzania. Na ndio sababu za kuagiza badala ya kuzalisha.

Hivi hadi CAG akwambie kweli speed ya ulipaji madeni ni unnecessary kama lengo ni maendeleo; kaazi kweli kweli
 
Tanzania ya Viwanda inawezekani kwa mipango makini, tena uanzie kuwekeza kwenye elimu kuanzia shule za awali, msingi, sekondari mpaka VYUO VIKUU
 
Nikipindi kifupi tu kimepita baada ya mhe. Rais wa jamh. Ya muungano wa TANZ. kuzuia uingizaji wa bidhaa ya sukari kutoka nje ya nchi. Ni jambo jema kwa uamuzi huu wa mheshimiwa rais kwa mstakabali mzuri wa sukari ambayo inazalishwa nchini kwetu. Hata hivyo baada ya tamko hilo la mhe. Rais, bodi ya sukari nayo ili ibuka na kauli yao yakututhibitishia kuwa sukari ipo ya kutosha hadi mwezi wa 4 au 6, pia walitoa bei elekezi kwa wafanyabiashara, kuwa sukari itauzwa kwa TSH 1800- 2000 kwa kilo moja kwa mnunuaji wa mwisho. Swali la msingi ni kwanini sasa sukari ipanda hadi TSH 2500/= Kwa kilo 1. tena kwa kipindi kifupi tu? Tunaomba serikali na wadau wote wasukari tusaidieni sisi wananchi wa kipato cha chini. tuweze japo kununua sukari kwa bei hiyo elekezi. Au tuambieni kwa nini bidhaa hii mhimu ipande bei gafla?.
 
Mi naomba ambae ananunua sukari tsh 2000/= kwa kilo anielekeze nikanunue coz huku Kigoma kwanza sukari ni hadimu sana halafu ukiipata kilo ni tsh 2500/= hadi tsh 2600/=.
Mjomba Magu hili la sukari vp, mbona Kigoma hatukuelewi?
 
niliuliza dukani wakaniambia wamepunguza kiasi cha sukari katika mifuko hivyo inabidi wapandishe bei wapate faida.
 
Serikali hii ya awamu ya tano ni ngumu kuielewa, walizunguka kwenye viwanda vya sukari wakasema iko tele na kupanga bei elekezi, jana mbunge anasema vitolewe vibali kuagiza sukari ya nje, eti ila waagizaji wasiagize, NYINGI sana! hajasema nyingi ni kuanzia tani ngapi, rais alisema sukari ya nje marufuku, haya rais alisema hakuna michango mashuleni tena tunaambiwa michango ni kwa vibali maalumu, kuielewa hii serikali ya WAPIGA PICHA inahitaji akili ya mwendawazimu.
Well said mkuu watu wanawashangilia wana siasa wanapoleta siasa kwenye mambo ya msingi yanayogusa maisha na uhai wa watu. Ni hatari sana[emoji45] [emoji45]
 
Mi naomba ambae ananunua sukari tsh 2000/= kwa kilo anielekeze nikanunue coz huku Kigoma kwanza sukari ni hadimu sana halafu ukiipata kilo ni tsh 2500/= hadi tsh 2600/=.
Mjomba Magu hili la sukari vp, mbona Kigoma hatukuelewi?
Hata Dar sukari imekuwa ya shida
 
Naskia mwanza Leo sukari mfuko wa 50kg unauzwa 130000. Kama habari hii ni ya kweli basi acha waisome namba.
 
Jamani hawa wafanyabiashara wanatupekeka wapi sisi wenye jipato cha chini yaani walala hoi.!!

Hebu fikiria tangu Serikali itoe tamko la bei elekezi ya Tshs1,800/= kwa kilo, sukari imepanda mpaka imefikia Tshs 2,500/= kwa kilo.!!

Jamani najua humu wapo pia wahusika katika hili, tafadhari sana muuingilie kati na kufuatilia hili la bei ya sukari kuwa Tshs2,500/= kwa kilo badala ya Tsha1,800/= kama tamko la serikali lilivyotolewa.!!

Naomba kuwasilisha na naamini Serikali ya Raisi JPM ni sikivu na italifuatilia hili ili kutusaidia sisi wanyonge wenye kipato duni ili tumudu kupata chai/uji kwa mama ntilie na kwenye familia zetu.!!
 
Hali sio nzuri, ukitaka kujua kuwa huko mbele inawezekana kukawa kugumu zaid angalia shilingi yetu inavyopigwa dhoruba, hawa jamaa hiz measure wanachukua ni muhimu lakin sidhan kama ni muafaka kwa muda huu, hiyo elfu 2500 baadae inaweza kuwa bei chee sana baadae.
 
Mwenyewe nipo mkoa wa mbeya jana tu nimeenda dukani nimenunua 2400 na ile mkaa wa 500 umekuwa 1000 tunateseka sana
 
Hali sio nzuri, ukitaka kujua kuwa huko mbele inawezekana kukawa kugumu zaid angalia shilingi yetu inavyopigwa dhoruba, hawa jamaa hiz measure wanachukua ni muhimu lakin sidhan kama ni muafaka kwa muda huu, hiyo elfu 2500 baadae inaweza kuwa bei chee sana baadae.

Quarterpin;
Usitutoe kwenye mada ya leo. Huko tuendako tukumbushe kuwa kuna siku iliwahi kuwa 2500/= Siku hiyo labda serekali itakuwa umetoa bei elekezi kuwa 5000/= per kilo. Tunasema, hiyo bei elekezi ya 1800/= ilikuwa ni ya nchi ya Burundi au Tz?
Kwa nini serekali hii imekuwa ya mihemko zaidi ya ukweli?? Unaposema kuwa tuangalie shs yetu inavyopigwa dhoruba, hao walio toa bei elekezi waliitolea baa wakinywa? Nitakosea nkisema Tz hatuna wana uchumi?? Ntakosea nkisema serekali hii haina Mipango wala mwana Mipango yeyote? Hili nalo ni jipuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom