simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,790
- 9,723
Hakinihusu. Health concern hasa kutambua sukari ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa kisukari.Kiroba kinakuhusu shekhe.
Hakinihusu. Health concern hasa kutambua sukari ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa kisukari.Kiroba kinakuhusu shekhe.
Mmmhh, hii ngumu rafiki yangu! Huko kwenu ni kama huku??Hiii inaitwa tumbua katika ngazi ya kaya
tulieni nyie au mnapenda mkate wa masimango?Ndugu wana JF,
Leo nimeshtushwa sana pale nilipojua kwamba kilo ya sukari sio shilingi 1800 tena bali sasa ni shilingi 3000 jijini Mwanza. Mliopo mikoa mingine huko hali ikoje au ni hapa Mwanza tunaibiwa? Kwa hali hii itakuwa ngumu sana kwa Wa-Tz wengi.
Mungu isaidie Tanzania.
Au viwanda vyetu vimeshindwa kukidhi mahitaji?? Hii inatuumiza wanyonge!Hawa wazungu watatuua,kupanda kwa sukari ni kwa sababu wamekata misaada,sijui huu Mwaka utaishaje,mpaka disemba sukari itakuwa elfu kumi kwa kilo
Sijakuelewa bado ulichoandika.Mizuka ya katelefon
viwanda vyetu vime fail mkuu.Au viwanda vyetu vimeshindwa kukidhi mahitaji?? Hii inatuumiza wanyonge!
mizukaNi wazi kuwa sukari sasa imezidi kupaa bei kila uchao, sehemu nyingi sasa bei ni elfu 3 kwa kilo, maamuzi ya Rais wetu mpendwa Magufuli naona aliya fanya haraka mno,wananchi wa chini sasa ndo wanaoumia zaidi.
Badala ya kupata unafuu ulikusudiwa sasa linaelekea kuwa janga. Najiuliza hapo ni sukari tu je angetangaza kupiga marufuku kuagiza na bidhaa zingine hali ingekuwaje? Kama sukari tu imeleta shida.
Hapo nadhan nimekupata kuwa inawezekana kuwa mihemko ndo ilipelekea kuamua vilemizuka
telefon =simu ----kasimu ndio alipandisha mizuka ya sukariSijakuelewa bado ulichoandika.