Bei ya Mbaazi kwa KG ni Shilingi ngapi mwaka huu?

kama july itafika sh 1000 ni kheri kuuza na si kusubiri labda itapanda, august bei hushuka zaidi
Bei itakayoanzia ndio hiyo itakayokuwa kubwa na itadumu kwa kipindi kifupi sana....baada ya hapo itashuka sana, mwezi wa kumi na moja inaweza panda kidogo sana let say 100-200TZS increase per kilo, kutoka Kwenye hiyo bei itakayokuwepo sokoni wakati wa mauzo ya october. Elfu moja ni kubwa sana mkuu, inaweza ikaanza na 700/800 per kilo.
 
Vipi nikiwa na mbaazi miezi ya january - February, soko litakuwepo?
Na bei inaweza ikawaje?
 
Mbaazi si kwaajili ya mboga tu. Mbaazi ni km unavyoona korosho, mihogo, Nazi na karanga. Wewe unadhani vile zinalimwaga nyingi na wahindi wana nunua na kusafiRisha unadhani ni kwaajili ya kula tu.? Hizo upelekwa viwandani na kuzalisha bidhaa zengine.
Acha kuelekeza wajuaji
 
Huku mkoa wa Lindi na Mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi nyingi sana, je kuna mtu anajua bei ya Mbaazi kwa mwakahuu? Au matarajio ya soko litakuwa vipi? Mwaka jana najua soko liliyumba kidongo lakini kwa mwaka huu sijajua uzoefu utakuwaje.
Mkuu, natafuta ufuta mweupe! Kuna mtu aliyenaye uniunganishe naye?
 
Anayeishi kwa ushemeji utamjua tu. Hujajua kutafuta pesa.
Naishi kwa ushemeji? Usidhani kila mtu ni kama wewe. Shilingi naipenda na inanipenda, najua kuitafuta na haijawahi kuniangusha kijana; kuwa na heshima dogo.
 
Naishi kwa ushemeji? Usidhani kila mtu ni kama wewe. Shilingi naipenda na inanipenda, najua kuitafuta na haijawahi kuniangusha kijana; kuwa na heshima dogo.
Hahaha
Mkuu ulipotoka kwenye ile kauli yako kwa kifupi haikukaa sawa
Ndio maana jamaa kaona wewe sio mtafutaji nadhani hayo yalikuwa mawazo yake kulingana na kauli yako

Ila pia ni vizuri kutumia maneno mengine kwa mtu usiye mjua kuliko kuhita kijana au dogo wakati umri wake hujui
Usiangalie kajiunga mwaka gani umu hicho siyo kigezo cha kupima umri maana wengine umu ni watu wazima japo hatupo Sikh nyingi jamii forum
Nawasilisha ova
 
Kiongozi, kumwita dogo nimemdharau kiheshima badala ya kumporomoshea matusi humu kama wendawazimu wengine waliotangulia. Nilishasema tangu mwanzo, kwangu kutukanwa sio issue wala matusi hayanisumbui; pili sikimbizani na mwendawazimu - kutukana unapotukanwa.
 
Vipi nikiwa na mbaazi miezi ya january - February, soko litakuwepo?
Na bei inaweza ikawaje?
Hiyo miezi inawezekana bei ikawa sio nzuri sana...maana India ndiko walaji walipo...kama mbaazi nyingi zitatoka mwezi wa 8-12 inamaana soko la January litakuwa baya (demand ya India ndio itatueleza hapo).
 
Back
Top Bottom