Kaiche
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 141
- 269
Habari Wafanyabiashara ,
Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja.
Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta kupanda kutoka hiyo 4000 hadi 5000 hapa kati.
Zao la ufuta hulimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara, na kwa msimu huu ufuta umelimwa zaidi na maendeleo yake ni mazuri.
Kuna biashara kama 2 za ufuta, hizi ni za chomachoma, yaani unanunua kutoka kwa mkulima.
Aina ya kwanza inaitwa KULA MAUA, hii ni biashara maarufu sana ukija huku Mtwara na Lindi, hii mkulima anaenda kwa tajili anachukua pesa kwa mkataba maalumu, baadae analeta ufuta, kwasasa KULA MAUA kwa kg ni sh elf 1 hadi 1500, Mfano anachukua sh 15,000 baadae analeta kg 10 za ufuta.
Ni biashara ambayo ina faida kubwa sana, mfano ukilisha maua milion 15, utapata ufuta tani 10, Ukauza kg 3000 baadae, unapata Tsh mili 30, yaan tele kwa tele.
Sasa kwa aliye tayari kupata elimu na kufanya hii biashara, namkaribisha, Napatikana Mtwara, Masasi.