Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 289
- 489
Wakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi.
Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya kilimo ya nchini Malawi kilo moja ya mahindi inauzwa kwa kwacha 1050 ambayo ni sawa na Tsh 1600 bei imepanda mara dufu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo kilo moja iliuzwa kwa Kwacha 660.
Je eneo ulilopo unanunua mahindi kwa bei gani?
Nifollow Peter Mwaihola