Bei ya mafuta kasulu leo!!!

Jamani wadau samahani sana nilikuwa offline kidogo lakini ukweli ni kwamba mimi mwenyewe ni mtumiaji wa mafuta na jana bei ilikuwa ndo hiyo (6000/litre) kwa petrol lkn baada ya kufuatilia kwenye vituo vingine leo bei hiyo imepungua hadi 3000 Mungu akipenda kesho mtapata picha wadau nawasilisha.
 
duuuuuuuuuuuuuuuh sasa huko mnaishije mkuu? usikute bia nayo buku tatu huko
anyway poleni sana ndo nchi yetu hii NEC na watu wa kanda ya kati wametuangusha endeleeni kuvumilia tutaikomboa tu nchi hii siku moja
 
Ari zaidi,Nguvu zaaaaaaaaaaidi na Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi KIDYUCHYU... Hayaa.
 
6000sh????? thats cryz..
i know recession is still around
but 6000sh thats a killer......
dumn.....:doh:
 
Nilikuwa Sumbawanga last week,bei ya petrol kule ilikuwa inarange kati ya Tsh 5000 na 6500.Tena ilikuwa unanunua kwa wauzaji wanaouza kutoka kwenye madumu.Petrol stations zote zilikuwa hazina petrol.Kibaya zaidi hata maji safi ya kunywa(ya kwenye chupa) yaliadimika sana pande zile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom