Bei ya Bitcoin sasa imefika dola 66,000 (TZS 153 mil +)

Si kweli, kama alitumia cold wallet imekula kwake. Na kesi kama hizi ziko nyingi duniani. Maana by that time hamna mtu alichukulia serious bitcoin
Kama kweli alitumia hzo wallet umekula kwake Ila kwa wallet ambazo hazina hzo phase anapata coin zake kikubwa akumbke baadhi ya vielelevyo alivyovitumia wakat anafungua account
 
Nahitaji ushaur tu Ni coin ipo Ni hold Kati ya hiz
Safemoon
Cardona
Dogecoin
Stellar
Kumbka nahitaji moja tu Kati ya hzo ushaur tu anayeweza kunichambulia vizur nataka kununua za dollar 180$
 
Nahitaji ushaur tu Ni coin ipo Ni hold Kati ya hiz
Safemoon
Cardona
Dogecoin
Stellar
Kumbka nahitaji moja tu Kati ya hzo ushaur tu anayeweza kunichambulia vizur nataka kununua za dollar 180$
You are asking the wrong question. Ningekua ni wewe ningeuliza "nitumie njia gani kujua coin zenye future nzuri..?"
 
Habari wadau!

Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009!

Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion!

Najaribu kuwaza kama mtu alinunua walau Bitcoin 20 tu kipindi imeanza au miaka ya 2010 mpaka 2013 leo atakuaje?

Mfano mtu aliyenunua hisa za 1mil za CRDB au NMB au kampuni yeyote hapa Tz miaka ya 2010 mpaka 2014 hiyo pesa angenunua bitcoin au etherium leo angekua wapi?

Dunia inaenda kasi sana!
main-qimg-675f8faefe9ef96578a1af5d840391f7
 
Nahitaji ushaur tu Ni coin ipo Ni hold Kati ya hiz
Safemoon
Cardona
Dogecoin
Stellar
Kumbka nahitaji moja tu Kati ya hzo ushaur tu anayeweza kunichambulia vizur nataka kununua za dollar 180$
More than three years
Cardano (3) hii in blockchain yake.

One year
Saitama iko poa, circulation yake ndogo na imeshapaa 1000x toka July 2021.

Six months
Kuna Coin mpya inaitwa dogezilla sasa hivi inaholder 192K hii inawiki mbili tuu, ijaribu.
Hii ni rahisi kuua sifuri hata nne by Fed 2022, wekeza pesa ambayo uko tayari kuipoteza, ikilipa toa wekeza kwenye coin za hapo juu au nyingine.
 
Wanao toa taarifa hizi ni Watanzania wema ambao wako tayari kusaidia Watz wenzao,Mi niko tayari kuwekeza ambaye yupo tiyari kunisaidia kujua hii biashara naomba tuwasiliane moja kwa moja tuonane uso kwa uso,najua ipo siku nitakushuru nifanikiwapo, wengine humu tunakatishana tamaa.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Nipo tayar kumuelekeza mkuu bure kabsaaaa
 
Na hasa watanzania wengi wanaamin kila kitu Ni wizi mm nimeijua btc ikiwa dollar 9000/ lakin Hadi naandika ujumbe nimenunua coin nying Sana about 10milion Aina tofaut tofauti

Zimekupa faida gani ..
Mimi naijua toka iko usd 1000nilipewa ushawishi kitu kama hicho na wote waloingia huko sikuona hata wana la maana
 
Back
Top Bottom