Bei ya Bitcoin sasa imefika dola 66,000 (TZS 153 mil +)

S F
Yani unafurahia kuwa nyuma daaah!!

Kinacho uma zaidi ni watu wenye mawazo kama yako wamejazana kwenye ofisi nyingi za serikali. Wengine ukiwaambia watumie hata email kutuma ujumbe wanaona unawaibia.
SI furahii kuwa nyuma ... Ila shida ukipigwa na wahuni huko huna kwa kwenda .. Kama mnahisi hizi ni pesa rahsi basi matajiri na wafanyabiashara wangeingia huku...
 
China.

Hata Tanzania inafaa kuiga China.
Hatuishi China, hapa ni Tanzania. Jibu swali.

Unajua samia kasema nini kuhusu cryptocurrencies?
 
Habari wadau!

Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009!

Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion!

Najaribu kuwaza kama mtu alinunua walau Bitcoin 20 tu kipindi imeanza au miaka ya 2010 mpaka 2013 leo atakuaje?

Mfano mtu aliyenunua hisa za 1mil za CRDB au NMB au kampuni yeyote hapa Tz miaka ya 2010 mpaka 2014 hiyo pesa angenunua bitcoin au etherium leo angekua wapi?

Dunia inaenda kasi sana!
Usiponde ununuzi wa hisa kwa sababu kuna kanuni za kununua hisa ili uwe milionea pia.Hisa hazinunuliwi kwa hisia.Unanunua hisa tu pale unapo-spot institutional accumulations.

Mimi najua kanuni za kutrade karibia financial markets zote kama vile bonds,indices,stocks,commodities na currency lakini huwa sijui chochote kuhusu bitcoin.Hivi mkuu bitcoin huwa zinanunuliwa tu kwa kubahatisha au huwa kuna kanuni zake pia?
 
Usiponde ununuzi wa hisa kwa sababu kuna kanuni za kununua hisa ili uwe milionea pia.Hisa hazinunuliwi kwa hisia.Unanunua hisa tu pale unapo-spot institutional accumulations.

Mimi najua kanuni za kutrade karibia financial markets zote kama vile bonds,indices,stocks,commodities na currency lakini huwa sijui chochote kuhusu bitcoin.Hivi mkuu bitcoin huwa zinanunuliwa tu kwa kubahatisha au huwa kuna kanuni zake pia?

Hoja ya kwanza, sidhani kama kuna mtu nime mponda ila kama yupo tusameheane.

Hoja ya pili, kama jinsi ilivyo kwenye hisa ambapo kuna watu wananunua kwa kubahatisha (wengi wana fall hapa) na kuna watu wananunua kwa kufwata kanuni na vigezo ili wajirishe kununua hisa...

Ndiyo hivyo hivyo ilivyo kwenye cryptocurrencies (ikiwemo bitcoin).
 
Hu nao ukichaa kama mwingine,Pesa ifanye kazi yake ya ku exchange good and services.Hizi speculations kwenye fedha ni ukichaa (easy money),yani Pesa haitengenezi value yoyote.

Trust me! Great economic depression inayofuata itatokana na haya makitu
How and why?. What is the difference between the stock market and crypto currency market?. For me I see all based in speculation. What drive gold and silver to rise and fall?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nimeliza swali hujajibu.

Unafwatilia hotuba za samia? Je unajua katoa maelekezo gani kwa BoT kuhusu cryptocurrencies?

Unasema ukipigwa, upigwe na nani?

Tafadhali jibu maswali yote.
Niliiona .. na ilijibiwa kwamba hawawezi kuunganisha mfumo huo kiserikali kwa sabab hawana watu wenye utaalam kuisimamia
 
Back
Top Bottom