Wewe acha nilewe,,uso wangu mzuri tu na wala haujaharibika vile nataka niwe soft zaidikumbe ndio maana umekuwa na sura ngumu hadi unatafuta dawa ya kupaka(Haya sio mafuta ya kupikia kweli?) kumbe umezoea pombe kali. Mtoto wa kike kunywa vinywaji laini utazeeka
Huo ndo mkono wakoView attachment 648635 acha ninywe maisha yenyewe ndio haya haya hakuna mengine
Japo ladha mbaya hivyo hivyo
View attachment 648635 acha ninywe maisha yenyewe ndio haya haya hakuna mengine
Japo ladha mbaya hivyo hivyo
Huo ndo mkono wako
Kidogo naweKwa nini unaleta mambo yetu huku?
Al-Watan hebu njoo umwone huyu....atalala nje leo akiendelea na hii tabia!
Nawapenda ninyi mnaotumia mambo kama haya. kupata mzigo inakuwa rahisi zaidi. Sema hayo mapombe ya ghalama ni kufilisiana tu.View attachment 648630 kwanini zina ladha mbaya ,,bora savana zetu na redds tu
Kidogo nawe
Nilikua namuonyesha Behaviourist
[emoji15] [emoji23] sema hujaipendaView attachment 648630 kwanini zina ladha mbaya ,,bora savana zetu na redds tu
nyani ngabu hana jeuri hyo mwenyewe anakunywa balimiHutazikwa na pesa tumia
Nyani Ngabu kanunua