Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,502
- 145,908
Msalimie Shemeji, nauona Mkono wake kwa pembeni.
Mkono wangu huo.
Msalimie Shemeji, nauona Mkono wake kwa pembeni.
Haha hujaona kingine umeona mkono tu ,,we kiboko
Una macho nawe lol
Kwa mkwapiKheeee nawe umetokea wapi?
https://https-en-m-wikipedia-org.0....id_internal=1547440102204384;AfpGnhMzH9y3BI8bView attachment 648635 acha ninywe maisha yenyewe ndio haya haya hakuna mengine
Japo ladha mbaya hivyo hivyo
Hahahaha chezea
Mkono wangu huo.
Aisee!. Aya, mkimzaa mtoto wenu niambieni nimchumbie kijana wangu. Bila shaka mchanganyiko wa rangi zenu itatoa kitu amazing!.Mkono wa Ngabu huo,,
Aisee!. Aya, mkimzaa mtoto wenu niambieni nimchumbie kijana wangu. Bila shaka mchanganyiko wa rangi zenu itatoa kitu amazing!.
Kabisaa mbio hzo nmeshajitoa kwenye mashindanoHahahaha mwachie Ngabu tu
Aisee huo mkono ni Wako?View attachment 648635 acha ninywe maisha yenyewe ndio haya haya hakuna mengine
Japo ladha mbaya hivyo hivyo