upo kiwanja gani?Hina inaishilizia
nyani ngabu hana jeuri hyo mwenyewe anakunywa balimi
Kwa mrembo kama wewe hata mimi ntanunua tu. Ntafanyaje sasa. Jeuri ya kukataa ntaitoa wapi!!?Hutazikwa na pesa tumia
Nyani Ngabu kanunua
ze rich babeRich Nigga
View attachment 648635 acha ninywe maisha yenyewe ndio haya haya hakuna mengine
Japo ladha mbaya hivyo hivyo
ze rich babe
Anakutafutia nin? Utalala njaa usiku leo nichezee tu
Hebu mwambie tunavyokuka kausha ATM zote
Una macho nawe lolMsalimie Shemeji, nauona Mkono wake kwa pembeni.