Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,596
hii ni reference sio promotional linkUtapichezea ban kuweka link
hii ni reference sio promotional linkUtapichezea ban kuweka link
Mkono kama wa mtu flani hiv
Atanichapa vibokoNani
Ha ha ha ha we unaingia kwenye mbio unamkuta usain bolt yohane blake halafu ukijiangalia hata kukimbiza kuku mtihan kwann usjitoeUlikua ushaanza kukiweka kwenye mashindano halaf bila kusema,,unajitoa ndio watupa taarifa
Mkuu itakua tu ndo yeye yani humu unatamani japo kucha ya memba ili ufananishe raha sana ukiwa nyuma ya kibodHuo ndo mkono wako
Ajabu ipiHauna cha ajabu
Aisee inatosha kua wewe ni mkaliiEee
Unadhania wa nani
Ushatamani ha haupo kiwanja gani?
wala sio mtumiaji mimiUshatamani ha ha
Unashangaa nn mfano mm vidole tu vinatosha kunishawish kuwa na wwMkono tu khaa!!unapenda rangi za mtume ee