Behind the scenes - Obama na Rizwan Kikwete

Behind the scenes - Obama na Rizwan Kikwete

Wa tz hatuna akili yani riz1 kawarubuni wakwele wa uwt ili apewe chance ya kupiga pix na obama.
 
Mama salma alimpokea mama Obama,kikwete alimpokea Obama,
watoto wa Obama walipokelewa na watoto kikwete wakiongozwa na mtoto ridhimoko....ha ha ha hv rzmoko kwa umri wake hawezi kuwa baba wa mtoto wa umri wa wanae obama?
 
Obama kauliza ndio Huyu aliekamatwa china?
RIZ.jpg

...nimeshasign mikataba 17 na wachina na bomba la gesi lazima lijengwe watake wasitake. Watakaogoma nimemwambia shemeji yangu Mwema wapigwe tu, kama alivyoagiza msaidizi wangu Pinda. heheheee!
 
obama-tanzania.jpg

Mke wa Raisi Obama Michelle alipata nafasi ya kutembelea ofisi ya Mwenyeji wake Mke wa Raisi Kikwete Mama Salma ...(WAMA)
613x.jpg

613x.jpg

Obama na Bush uso kwa uso
Kwa pamoja watembelea makaburi ya wahanga wa mlipuko wa bomu uliotokea mnamo 2/07/
2013,​
katika ubalozi wa Marekani
Dar Es Salaam, Tanzania​

51d332f91d2be.preview-620.jpg

51d3330151b3f.image.jpg

article-2352491-1A9B61A8000005DC-171_634x438.jpg

921-Xy29j.SlMa.55.jpeg

Walipata wasaa wa kusalimiana na wahanga waliopoteza ndugu zao kwenye mlipuko wa bomu huo
51d33302949b0.image.jpg

Alipata muda maalumu na waandishi wa habari

Rais wa dunia
 
Remember what Obama said on corruptions,kupeana kazi na Biashara kwa watoto wa wakubwa on his speech pale Ikulu nam-quote "No one should have to pay a bribe to start a business or ship their goods. You shouldn't have to hire somebody's cousin who doesn't come to work just to get your business done.Trade will flow where rules are predictable and investment is protected." So Obama knows those dirt games played by these Africa leaders.
 
  • Thanks
Reactions: kui

he knows pretty well!!
 
MWANAISHA = elimu duni ya TZ... wamemuonea sana mwanaisha jaman
wangemtambulisha na yeye
 
Marekani wakimkamata uyu dogo na unga sio kama china, hawatakumbuka kuwa ni mtoto wa kikwete.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi

Mtoto mkubwa 30+ bado yupo kwenye minuso ya serikali na kutambulishwa kama mtoto under 18 halafu watu wanasifia humu. Sana sana alikuwa hapo kupiga picha tu ya ukumbusho.

Pamoja na viongozi wa marekani kuambatana na familia zao we ulishaona wapi wanatambulisha watoto wao?? Hata pale airport uliona Obama anawatambulisha watoto wake?? Mambo ya Kiserikali yafanywe kiserikali. Ninakubali kama akialikwa kwenye sherehe ya kuapishwa baba yake lakini siyo kwenye uijio wa Obama. By the way............. muulizeni kachangia nini zaidi ya wingi wa watu na kula misosi kwenye hafla.
 
ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi

Acha wivu wewe binti. Mh. Dkt. Wilbroad Peter Slaa amemchagua Josephine. Wewe tulia; acha kulia lia. Ulivyo na kiranga, mpaka unatia kichefuchefu.
 
ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi

Inaoneka unamzimia sana Dr. Slaa eeef.
Full kumuonea wivu Josephine.
We siku ukikutana na Dr. Slaa face to face lazima uliwe Kiboga...
 
Back
Top Bottom