Sio kwa mmarekani, they know how to call a business business
Kwani Obama anamtambulisha mtoto yupi hapo?ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi
Obama kauliza ndio Huyu aliekamatwa china?
MBWA wa Bwana naye huwa BWANA
ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi
View attachment 101328
kikwete: "mr. President, this is my son his name is ridhiwani!!!!!!"
View attachment 101330
obama: "how are kikwete jr?"
View attachment 101328
obama: "do not imitate uhuru kenyetta's ways, ok?"
China alikamatwa kwa kosa gani, je alishtakiwa? je yuko nje kwa dhamana au amemaliza kifugo au alilipa faini?. Samahani, "aliyekamatwa" ni kama nilivyoelewa au ina maana nyingine?
ivi ingekuwa slaa angemtambulisha mtoto yupi
mkuu humu humu jf kuna uzi wa hiyo issue kwa hiyo fuatilia