"Behind every successful man there is a woman": HIVI NI KWELI ???

"Behind every successful man there is a woman": HIVI NI KWELI ???

Ni kama bia, ukinywa moja ni unywaji na zikizidi unalewa. Two is a crowd,trust me. Watu hawaongelei gharama ili utegeke azimio jipya!
Cmon King

You mean this WOMAN is Ok ... and This is WOMEN ...is messs!! Lol

Mbona kitu hicho hicho tofauti ni Idadi tu!!? Lol
 
Huu ni kama usemi tu wenyekuleta changamoto kwa vijana ili wasiishi bila kuoa
 
4 me behind all men & women is GOD

Personal I agree ..complete agree.. BUT .. Experts do differs, on which I don't agree with ...some say Behind Men is GOD and Behind Women ... its something else ..Lol

I am sure you will remember Adam and Eve story .. am just joking itsnt my view !! Lol
 
Ni kama bia, ukinywa moja ni unywaji na zikizidi unalewa. Two is a crowd,trust me. Watu hawaongelei gharama ili utegeke azimio jipya!

Mhh! Nilifikiri kwa Bia hizo hesabu its ok.. Lakini Kwa binadamu ... sikudhani kuwa hesabu zingekuwa hivyo !!

Kama binadamu mmoja ana sababisha KULETA mafanikio ... I though ..wengi .. ingekuwa Mafanikio zaidi ... unless .. We are doing different Maths ..algebra Vs quadratic ..Lol

Vinginevo bado kuna tatizo smhwere!
 
No, the fact is: women choose successful men who can buy them lunch, jewelerlies etc.
 
kuna ukweli ikiwa tu mwanamke atakuwa anamjali mumewe lakini kuna biashara nyingi wanaume hufanya bila wake zao kujua. Je mwanamke akifanikiwa nani yuko nyuma yake?
 
inatakiwa isemwe ''beside'' and not behind,,, ukipata the ryt typ of woman mnayeendana nae, 4 sure u will b successful bega kwa beaga wewe pamoja na mke wako,,, na mke kamwe hatokua behind, but she will always b beside..
 
Behind every successful man there is a woman and behind every unsuccessful man there are two!
 
Nimesikia msemo huu mara kadhaa katika jamii zetu.

Week- end moja hivi nilitoka out na rafiki yangu. Tulitafuta sehemu nzuri ya wazi ktk
pub moja na tuliagiza vinywaji, taratibu tuliendelea kubadilishana mawazo kuhusu mustakabari wa
nchi yetu pamoja na mambo mbali mbali ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini kwetu.

Katika meza ya jirani, walikaa wanaume wanne na akina mama wawili. Walikuwa wakibadirishana mawazo kama sisi
kwa sauti za kawaida. Baadae kilevi kilipokolea wanaume wawili kati yao ikaonekana dhahiri kama vile wanabishana
kwa kutumia nguvu nyingi na kwa sauti kubwa. Mmoja kati ya wale wawili waliokuwa wakibishana aliamua kusimama
huku akiyumba na kubadirisha lugha; alizungumza hivi: " Is this assertion true, I am a successful man, but behind me
are my books. No woman there. Woman are overrated. Mr. Kimaro please refute your argument otherwise.....
........... "
Baadae Mama mmoja kati ya wale wawili alimsihi sana yule bwana aliyekuwa amesimama, hatimaye alimsikilza na
kukaa. Baadae ikaja kudhihirika kuwa mabishano yao yalihusu usemi huu; Behind every successful man there is a woman.

WANA JF KUNA UKWELI KTK USEMI HUU? LET US COMMENT.

Ni kweli mkuu, kila kwenye mafanikio kuna mwanamke!
 
Behind any successiful Man, there is best strategies of his actions!!
if you don't agree on this then tell us this!! What is behind a successiful choice of a wife?
 
Behind every successful man there is a woman, and behind every unsuccessful man?
 
Back
Top Bottom