Beef

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Mimi Nyani Floribert Nzagamba wa Ngabu, napenda kuchukua fursa hii kuutangazia umma wa Jamiiforums kuwa sina beef wala ugomvi na yule bilionea wa Kihaya, Bishanga Biakabutuka wa Abashaija.

Kama niliwahi kumkwaza hapo awali basi naomba aniwie radhi. Watu wa pwani husema wagombanao ndiyo wapatanao.

Bishanga ndiyo mshindi nami nimekubali kushindwa kwani asiyekubali kushindwa huyo huwa si mshindani. Kwa hiyo, kutoka kwenye kilindi cha moyo wangu na kwa moyo mkunjufu kabisa nasema hongera bwana Bishanga. Beef sasa kushi nehi.
 
Mhe, Kiongozi NN congra!
Huo ndiyo uwana-wa kiume!
Na hasa ukishalichungulia tatizo out the pitch, kocha akikutoa kunako benchi, ukiingia pitch tu una'deal na kuliko na shida.
Ok mkubwa tupo kwenye kizazaa cha hiyo Meli ! Watu 250 na ushee , Tragedy!
 
Mimi Nyani Floribert Nzagamba wa Ngabu, napenda kuchukua fursa hii kuutangazia umma wa Jamiiforums kuwa sina beef wala ugomvi na yule bilionea wa Kihaya, Bishanga Biakabutuka wa Abashaija.

Kama niliwahi kumkwaza hapo awali basi naomba aniwie radhi. Watu wa pwani husema wagombanao ndiyo wapatanao.

Bishanga ndiyo mshindi nami nimekubali kushindwa kwani asiyekubali kushindwa huyo huwa si mshindani. Kwa hiyo, kutoka kwenye kilindi cha moyo wangu na kwa moyo mkunjufu kabisa nasema hongera bwana Bishanga.

teh teh teh teh!!! Ama kweli wewe ndio Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeipenda hasa pale mwanaume anapoamua kujiformati,....lakini yote tisa mbona Bishanga ni mwepesi mno ana wafanya nini?...Owaishe oineki we bhanyakulyempali!
 
Last edited by a moderator:
beef?...ahaaa...nilijua beaf!!
huo ndio uzuri wa RAMADHANI...watu wanabadilika kinoma!
 
Ila wewe una bifu na wengi?
Including me
Nakuogopaje?
Yaani post zako au comment zako huwa sizigusi kabisaaa.
Sijui imekwaje Leo nimesoma na kukomenti
Ila nisamehe Mimi pia.
 
Ila wewe una bifu na wengi?
Including me
Nakuogopaje?
Yaani post zako au comment zako huwa sizigusi kabisaaa.
Sijui imekwaje Leo nimesoma na kukomenti
Ila nisamehe Mimi pia.

This is news to me!!!

Mi na wewe tuna beef? Imeanza lini?

Haya basi kama tuna beef tui-squash.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom