Beef

hahaha nipo busy na Tume ya Katiba, BTW ushatoa maoni yako kweli

Majina yawaliotajwa hata sikulisikia wala kuliona jinalo.
Kwetu hawajapita bado. Wakipita nitatoa maoni yangu
Kuwa akina dada nasi turuhusiwe kuoa.
 
Majina yawaliotajwa hata sikulisikia wala kuliona jinalo.
Kwetu hawajapita bado. Wakipita nitatoa maoni yangu
Kuwa akina dada nasi turuhusiwe kuoa.
sasa sie madereva tutatokeamo kwenye majina ya muheshimiwa!
Mbona kwetu kusini kule wadada wanaruhusiwa kuoa au ulikua hulijui hili
 
Aaaah, unapunguza utamu wa foramu bwana.
Unakubalije kirahisi mtoto wa kiume? Kama vipi zipangwe tena...

Labda ni mtoto wa kiume kweli...ila angekuwa mwanaume hakuna kusarenda mpaka kieleweke Mphamvu chora mstari atakayevuka amemtukana mwenzie......ajua
 
Last edited by a moderator:
sasa sie madereva tutatokeamo kwenye majina ya muheshimiwa!
Mbona kwetu kusini kule wadada wanaruhusiwa kuoa au ulikua hulijui hili

Ok, kumbe kuna wengine hawakuwemo kwenye list.
Tugawane basi ulaji.
Twataka iingie kwenye katiba tumechoka na unyanyapaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom