Beef beef ndani ya bongo movie

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,656
68,604
Habari JF,

Leo nilikua naangalia CLOUDS TV-Take One::Zamaradi alikua anawahoji Wema na Irene Uwoya na wote wamefunguka
1.Wema Kamchana Jokate kwamba amempora mchumba wake(Diamond) na pili kamchana Jackline Wolper kwamba ni mshamba wa kijijini
2.Irene Uwoya kamchana nae Jack Wolper kwamba ni mlugaluga

Haya ebu tuone mwisho wao vijana

Nawasilisha
 
Ka Wema kanyang'anywa bwana, na ana uhakika kwamba Diamond ni wa kwake peke'ke si aende tu polisi kuchukua RB!?
 
Kwanini wanyang'anywe? Kilichopo hapo wamshukuru Mungu kwakuwaonyesha hao wanaume hawana upendo wa kweli kabla ya kuowana so ni bora wawe na subira na kumwomba Mungu awape mwanaume anaewafaa
 
Kumbe huwa unapata muda wa kuwaangalia hao wapumbavu.
 
Bullsh!t..kuna siku watu waliandika humu sijui Diamond amvisha pete Wema, mi nikasema hawafiki popote bado 'watoto'! Thats it, imedhihirika
 
Kwanini wanyang'anywe? Kilichopo hapo wamshukuru Mungu kwakuwaonyesha hao wanaume hawana upendo wa kweli kabla ya kuowana so ni bora wawe na subira na kumwomba Mungu awape mwanaume anaewafaa
mara wanaume hawana upendo mara bwana awape wanaume wenye upendo... hizi craps ngumu sana
 
Masikini wema na mwenzie Irene, kuwa maarufu ni kazi, mara zote mti wenye matunda ndio hupopolewa. Kwani bifu hili ni la makabila, uchaga umefikaje hapa
 
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.

upupu!!!!!!tuna mengine ya kutafakali tafadhali!!!!kama huna kalale!!!
 
Back
Top Bottom