Nakusalimu lizzyObviously!!!
Mwambie dada yako aache kushikashika simu yanguHapo sawa maana ushanambia wewe bikra sasa huo mwandiko ulinisononesha kidogo.
Afadhali nimepumua.
Hayanihusu hayo...mimi namuunga mkono mtoa mada wewe jeMwambie dada yako aache kushikashika simu yangu
Mimi sijui hayo mambo ya kikubwa ndo kwanza nna miaka 11Hayanihusu hayo...mimi namuunga mkono mtoa mada wewe je
haya kakale usije tiwa najisi humu nawe ukakubuhuuMimi sijui hayo mambo ya kikubwa ndo kwanza nna miaka 11
kabla siachangia kula like 600Huu msemo alisingiziwa Jongwe ndio kauanzisha, sijui kama kuna ukweli wowote. Vyovyote vile huu msemo una ukweli kwa asilimia 99.99.
Kuna matukio kadhaa yamefanya niuamini huu msemo.
1.Huku uswazi kuna kibanda cha M-Pesa, hapo kuna msichana mmoja mzuri sana lakini nasikitika kusema nilivyoongea nae nikajua huu msemo unamuhusu. Hakukawia baada ya miezi kadhaa vijana wa bodaboda washafanya yao.
2.Kuna siku mchepuko wangu ukaniburuza hadi dukani kwa rafiki yake, pale tulikuta muuzaji ni binti mrembo sana, wakati tunaondoka mchepuko akaniambia umeona mtoto yule nikamwambia nimemuona ila I feel sorry for her, akaniuliza kwanini nikamwambia watamuharibu. Sasa hivi ana mtoto baba kakimbia msichana kachoka vibaya sana.
3.Huyu ni mwingine kibanda cha M-Pesa, ni moja ya wasichana wazuri niliowahi kuwaona 2017. Nilipomfuatilia nilikuja kujua ana watoto watatu baba tofauti
4.Sofia, huyu ni bartender 'kijiweni' kwangu. Mzuri balaa ila ndio kashazalishwa watu wanapokezana tu.
Yaani hawa wanaoponzwa na uzuri wao wapo wengi sana.
Dada zangu JF shukuruni Mungu kwa kuwapa beauty with brain.
Ee ngoja niwaachie mliokubuhuhaya kakale usije tiwa najisi humu nawe ukakubuhuu
hahaaa ..lakini angalau ya hao maana waliamua kufnya hvyo baada ykuona hawana Uhakika wa kuwapa ugali wale watakao wazaa..mwisho wa siku watakuwa na familia zilizokosa muelekeo ..Kuna wengine walifanya abortion, huyo ana wisdom kumua kuzaa
Kama kweli haujaanza na unajichanganya humu na waliokubuhu nakupa week tu.Ee ngoja niwaachie mliokubuhu
hahaaaMmmh Mimi Nina brain without beauty but with papuchi
hahaaaKuna aliyelazwa hospital kwakuwa private parts zili suffer?
[emoji23] [emoji23] si ndio maana nakaa mbali na ninyi mliokubuhuKama kweli haujaanza na unajichanganya humu na waliokubuhu nakupa week tu.
kweli naona hadi hubby umemkimbia usiku huu upo humu.[emoji23] [emoji23] si ndio maana nakaa mbali na ninyi mliokubuhu
kuna wengine hawaja zaa kabisa..kina sepenga lakini balaa lao nikama jehanamKwa nini ionekane aliyezaa baba tofauti ndo ionekane her private parts have suffered the most? Kuna tofauti gani na yule aliyezaa baba mmoja wote?
Hubby gani tena wewe si umeniacha nimerudi kuwa singokweli naona hadi hubby umemkimbia usiku huu upo humu.
hahaaaaYaani unataka nijifanyie experiment mwenyewe wewe mzima kweli?
Tuendelee kutafuta tukikosa turudiane.Hubby gani tena wewe si umeniacha nimerudi kuwa singo
exactly ..kwanza ukiambiwa wewe ni mwanaume wa 4 basiii ongeza 20Kuzaa na watu watano tofauti haina maana kapitiwa na wanaume watano, itakuwa kama 50 hivi.