ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Kipi kinaumia sasaMmmh Mimi Nina brain without beauty but with papuchi
Kipi kinaumia sasaMmmh Mimi Nina brain without beauty but with papuchi
Hapo, umeifafafanua vizuri na nimekukubali, (kama kweli, umetafiti,ukajiridhisha kuwa,hayo, ni matokeo ya moja, au yote mawili ya mwsho, - ABUSED na/au OVERUSED)Kuna kuwa USED na kuwa ABUSED and OVERUSED....
Unamjua nini?Bila kuathiri mada;
Alisha abort wawili na hao watano alionao, watatu alishajaribu kuwatoa ikashindikana!
Me sijui Kimalkia bna....umeniacha mtupuThen private parts will suffer and suffer
Mkuu umenivika kilemba si changu Mimi mpika maandaziSio kullazwa tu,wapo waliokufa kabisa. You being health worker should know better.
Kwa nini ionekane aliyezaa baba tofauti ndo ionekane her private parts have suffered the most? Kuna tofauti gani na yule aliyezaa baba mmoja wote?Hizo abortion sijaziona hivyo hazinipi pressure, mwanamke amezaa five kids kila mmoja na babaye hudhani "her private parts have suffered enough"?
Wanawake wengi wazuri wa sura wamenyimwa intelligence quotient
Sio kweli..Hata ukinunua gari unaangalia limetembea km ngapi, sasa huyo mtu ana ex's wanne ukimuoa/kuolewa tambua kabisa atakua mchepuko wa mmoja kati ya hao....
Tofauti ipo kubwa sana. Ila nyie wahanga hamuwezi kuionaKwa nini ionekane aliyezaa baba tofauti ndo ionekane her private parts have suffered the most? Kuna tofauti gani na yule aliyezaa baba mmoja wote?
Hiyo tofauti ndo naitaka. Ni ipi?Tofauti ipo kubwa sana. Ila nyie wahanga hamuwezi kuiona
Kwa hiyo mtu akikuambia ana ex's 6 utamkubalia kweli? Ukwel ni kwamba wengi huongea uongo.. Huyo mwenye 6 atakuambia alikua na mmoja tu ili uvutike.Sio kweli..
Zaa na wanaume tofauti halaf utaionaHiyo tofauti ndo naitaka. Ni ipi?
Yaani unataka nijifanyie experiment mwenyewe wewe mzima kweli?Zaa na wanaume tofauti halaf utaiona
Ex's 6? Mbona kawaida sanaKwa hiyo mtu akikuambia ana ex's 6 utamkubalia kweli? Ukwel ni kwamba wengi huongea uongo.. Huyo mwenye 6 atakuambia alikua na mmoja tu ili uvutike.
Kwahiyo unapenda experiement wafanyiwe wenzio halaf majibu upate ww?Yaani unataka nijifanyie experiment mwenyewe wewe mzima kweli?
Hahaha umenikumbusha niliwahi kupeperusha njiwa kwa kutaja idadi halisi ya ex's.Ex's 6? Mbona kawaida sana
Kumbe na wewe unaongea tu hata hujaona mimi nilijua unaongea vitu ambavyo umeviona...kwa heriKwahiyo unapenda experiement wafanyiwe wenzio halaf majibu upate ww?
Kumbe umeona lakini hujafanya?kama ingekuwa kitu rahisi kuzaa na wanaume tofauti sidhani kama ungeona ajabu kuambiwa ufanye weweKumbe na wewe unaongea tu hata hujaona mimi nilijua unaongea vitu ambavyo umeviona...kwa heri
Unaona sasa kumbe hata wewe una timu ya netball af unataka kujifanya mtakatifu hapa mxiiiuuHahaha umenikumbusha niliwahi kupeperusha njiwa kwa kutaja idadi halisi ya ex's.