Beauty without brain private parts suffer the most

Beauty without brain private parts suffer the most

Ni,Beauty with brain and private parts don't suffer at all but the world suffers most. ni kweli ni wazuri ila wajanja wame wazidi akili nakuwa laghai na kuwaekea mitego mikali kisha kuwachezea nakuwa dumb hasa hapo nani alaumiwe?????
 
Wewe unafikiri nani alaumiwe?
 
Kwa thread zilizoshamiri MMU lately...nakazia Beauty without brain....private parts suffer terribly!
 
Hizo abortion sijaziona hivyo hazinipi pressure, mwanamke amezaa five kids kila mmoja na babaye hudhani "her private parts have suffered enough"?

Wanawake wengi wazuri wa sura wamenyimwa intelligence quotient
Sio kweli...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom