Beauty without brain private parts suffer the most

Beauty without brain private parts suffer the most

Nimekosa hivyo viwili Beauty with Brain lakini nimepata Bahati kuwa mrs Aspirin
 
Huku ninapoishi niliona mdada mzuri balaa, kama 32yrs hivi. Katika kupitisha macho jamaa akaniambia usitizame sana, huyo dada ana watoto watano, kila mmoja ana baba yake.

Nikachoka mwili na roho.
 
Hizo abortion sijaziona hivyo hazinipi pressure, mwanamke amezaa five kids kila mmoja na babaye hudhani "her private parts have suffered enough"?

Wanawake wengi wazuri wa sura wamenyimwa intelligence quotient
And that is the truth, wamepewa uzuri, akili hakuna. Wanadhan uzur tu utawasaidia kupata chochote kumbe ndio huwa unatumiwa kuwachezea na kuachwa.
 
Its not just the private parts that suffer.

Her parents and the rest of the family suffers.

The society suffers too. As a result of her actions, diseases are spread, families are broken, names are tainted, tribes are stereotyped.....

It only just started with a single beautiful but dumb woman.
Mi nimeona likes 5 nikaona niongezee 1! Mengine sijui!
 
Hizo abortion sijaziona hivyo hazinipi pressure, mwanamke amezaa five kids kila mmoja na babaye hudhani "her private parts have suffered enough"?

Wanawake wengi wazuri wa sura wamenyimwa intelligence quotient
Maybe wisdom has a new definition
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom