Beauty without brain private parts suffer the most

Beauty without brain private parts suffer the most

Nimekosa hivyo viwili Beauty with Brain lakini nimepata Bahati kuwa mrs Aspirin
Hamna sehemu imeandikwa mtu wa aina hio HAWEZI KUPATA MUME bali HER PRIVATE PARTS SUFFER TERRIBLY.
 
Ni kweli kuamua kuzaa na baba tofauti nje ya ndoa ni Wisdom.
Rrondo ukishfanya mistake mtoto wa kwanza na jina kazi, wa pili atakuwa kwa nia ya kukusaidia na kuku acha na mimba na watatu na wanne. Ninamsifu kuwa hakutoa hizo mimba
 
Ukitafuta kazi bank ulisoma ulushafanya kazi kwenye bank tatu/nne ni bonus lakini mchumba ukimwambia ukishakuwa na watatu/wanne anaweza aikupigie simu tena why?
 
Huu msemo alisingiziwa Jongwe ndio kauanzisha, sijui kama kuna ukweli wowote. Vyovyote vile huu msemo una ukweli kwa asilimia 99.99.
Kuna matukio kadhaa yamefanya niuamini huu msemo.
1.huku uswazi kuna kibanda cha mpesa, hapo kuna msichana mmoja mzuri sana lakini nasikitika kusema nilivyoongea nae nikajua huu msemo unamuhusu. Hakukawia baada ya miezi kadhaa vijana wa bodaboda washafanya yao!
2.kuna siku mchepuko wangu ukaniburuza hadi dukani kwa rafiki yake,pale tulikuta muuzaji ni binti mrembo sana, wakati tunaondoka mchepuko akaniambia umeona mtoto yule nikamwambia nimemuona ila I feel sorry for her, akaniuliza kwa nini nikamwambia watamuharibu. Sasa hivi ana mtoto baba kakimbia demu kachoka vibaya sana.
3.huyu ni mwingine kibanda cha mpesa, ni moja ya wasichana wazuri niliowahi kuwaona 2017! Nilipomfuatilia nilikuja kujua ana watoto watatu baba tofauti
4.sofia, huyu ni bartender 'kijiweni' kwangu. Mzuri balaa ila ndio kashazalishwa watu wanapokezana tu

Yaani hawa wanaoponzwa na uzuri wao wapo wengi sana. Dada zangu JF shukuruni Mungu kwa kuwapa Beauty With Brain.
Kuna mademu ambao wamekaa kimatamanio(kingono ngono)hawa huwa wanasumbuliwa sana na ni ngumu kuchomoa yaani,
Alafu utakuta hawajijui kama wanatamanisha kiasi hicho sometimes wanatia huruma na hakuna option na personality zao zinawatesa pia hao ndio asili yao hakuna namna
 
Rrondo ukishfanya mistake mtoto wa kwanza na jina kazi, wa pili atakuwa kwa nia ya kukusaidia na kuku acha na mimba na watatu na wanne. Ninamsifu kuwa hakutoa hizo mimba
Na hapa ndio msemo wa mbunye ndio inayoumia unapojipigia mstari.
 
Ukitafuta kazi bank ulisoma ulushafanya kazi kwenye bank tatu/nne ni bonus lakini mchumba ukimwambia ukishakuwa na watatu/wanne anaweza aikupigie simu tena why?
Hata ukinunua gari unaangalia limetembea km ngapi, sasa huyo mtu ana ex's wanne ukimuoa/kuolewa tambua kabisa atakua mchepuko wa mmoja kati ya hao....
 
Kuna mademu ambao wamekaa kimatamanio(kingono ngono)hawa huwa wanasumbuliwa sana na ni ngumu kuchomoa yaani,
Alafu utakuta hawajijui kama wanatamanisha kiasi hicho sometimes wanatia huruma na hakuna option na personality zao zinawatesa pia hao ndio asili yao hakuna namna
At least brain itawasaidia kufannya wise decisions
 
Ukitafuta kazi bank ulisoma ulushafanya kazi kwenye bank tatu/nne ni bonus lakini mchumba ukimwambia ukishakuwa na watatu/wanne anaweza aikupigie simu tena why?
Watatu/wanne tu? Huyo mchumba hayuko serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom