Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,150
- 5,019
haya matatizo yanaanzia ndani ya familia.
mzazi hajawahi kumwambia binti yake we mnzuri akazoea kudhaminiwa toka ndani lakini kila saa anakutana na lugha za kitumwa utasikia "we mwajuma ushaosha vyombo, sasa akisema bado jibu la mama linakuja liangalie kwanza jiuso kama mbwa koko!" sasa hayo maumivu anaondoka nayo na huku anakutana na vimeo vyenye vess zao utafikiri wanaoa kweli wakimwonyesha ni kwa jinsi gani yeye ni wadhamani na wakati mwingine wanaeleza ukweli mtupu mwisho wa siku binti anawaamini na kumzawadia utupu wake.
hivyo tuanze kudhamini watoto wetu toka ndani.
pia tuwe wazi kuwaeleza changamoto mbalimbali za maisha wanazoweza kukabiliana nazo ni vizuri mzazi ikitokea ameangalia thamthilia na familia, ni vizuri aweze kutoa tafsiri sahihi ya tafsiri halisi katika maisha na jamii yetu.