Beauty without brain private parts suffer the most

kutobolewa ndo sehemu ya uana mke, hao wanaonewa tu koz ni warembo, macho ya wengii yana angukia kwao, hiyo haimaanishi wabaya hawatobolewii au hawazalishii na kuachwaa
 
Kwa nini ionekane aliyezaa baba tofauti ndo ionekane her private parts have suffered the most? Kuna tofauti gani na yule aliyezaa baba mmoja wote?
Kwanza I do miss you[emoji13]

Pili lazima sehemu zake zipate shida vile anapata uzoefu hasi kimaumbile toka kwa wanaume watano.

Hivi unaweza kweli kuzaa watoto watano wenye ubini tofauti? Dah...
 
Kwasababu ni wazi anakitembeza kwa dushe tofautitofauti.
 
Kumbe umeona lakini hujafanya?kama ingekuwa kitu rahisi kuzaa na wanaume tofauti sidhani kama ungeona ajabu kuambiwa ufanye wewe
Mimi sioni ajabu...na kutokuona ajabu haimaanishi lazima nifanye mimi maana inawezekana nina sababu za kutofanya na kumbuka hapa tunaongelea private parts. Ila nakushangaa wewe unaesema nikajaribu mwenyewe ili nione madhara yake
 
Kwanza I do miss you[emoji13]

Pili lazima sehemu zake zipate shida vile anapata uzoefu hasi kimaumbile toka kwa wanaume watano.

Hivi unaweza kweli kuzaa watoto watano wenye ubini tofauti? Dah...
Mimi hujawahi kunimiss?
 
kinginee watu wanasahau mzalishaji ni mwanaume
 
Mimi sioni ajabu...na kutokuona ajabu haimaanishi lazima nifanye mimi maana inawezekana nina sababu za kutofanya na kumbuka hapa tunaongelea private parts. Ila nakushangaa wewe unaesema nikajaribu mwenyewe ili nione madhara yake
Kama haina madhara kwann ushangae
 
Kwanza I do miss you[emoji13]

Pili lazima sehemu zake zipate shida vile anapata uzoefu hasi kimaumbile toka kwa wanaume watano.

Hivi unaweza kweli kuzaa watoto watano wenye ubini tofauti? Dah...
Kwa hiyo unataka kusema wanaume watano in a woman's lifetime ni idadi kubwa sana au tatizo lipo kwenye kuzaa? Mimi nimekumiss hadi nimechoka sasa sikumisi tena[emoji13]
 
Kuzaa na watu watano tofauti haina maana kapitiwa na wanaume watano, itakuwa kama 50 hivi.
 
Bado sioni tatizo dushe si ni ileile na inafanya kazi ileile
Hapana. Zina size tofauti na intensity tofauti ndio maana mmeanzisha maneno kama kibamia, mwanaume dakika mbili....
 
Bahati mbaya ndio mfumo wa maisha, inaonekana kawaida vitu fulani akifanya mwanaume.
hawajui kuwa mwanamke asipo tongozwa na mwanaume, basi hana jeuri ya kuwa malaya
 
Kwa hiyo mtu akikuambia ana ex's 6 utamkubalia kweli? Ukwel ni kwamba wengi huongea uongo.. Huyo mwenye 6 atakuambia alikua na mmoja tu ili uvutike.
Kuchepuka ni hulka ya MTU...unaweza kuoa/ kuolewa Na bikra lakini ukaiona Ndoa chungu
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom