Uko sahihi kabisa.Hii story inafanana sana kwa kiasi fulani na Korean series moja hivi inaitwa LOBBYIST
Hii sehemu imenigusa sana,natamani nipate darsa kuhusu hili.Uelewe wanajua kusoma pschology yako, wanajua maneno mazuri, wanajua romance sehemu ipi wakigusa inarelax ubongo, kwakweli mtihani ni mgumu.
Nasubir pia kijana anguMkuu White party,natumia simu,nashindwa kuweka link,ntaiweka muda si mrefu.
Kwanini,kwani na wewe si ni msichana kama wao...Siko kundi lolote.+
Kwani mada yako imeongelea age?..mbona unafeli mapema..Naomi Campbell ana miaka 50 na bado ni highly paid modelDo you actually know my age?
Haina shida..kuna client wana miaka Zaidi ya hiyo 50..endelea kupambanaNimezidi miaka 50.