Wewe jamaa.Mmmh ina maana hapo wakina dada wanatumia na papuchi ili kumshawishi mteja
Hilo gazeti hiyo article inaitwa 'beauty with brains'?
hukumbuki jina la gazeti? TIME? Economist?
Nono hiyo haikuwa heading yenyewe, ninadhani heading ilikuwa based with the greater IQ level in modelling agency.
Ilimaanisha wale wazuri wanasecure better deals.
Naomba link ya hicho kitabu kama unayo pleaseMkuu Elli,sio wanasiasa wa bongo tu,bali kila pembe ya dunia hawa watu wanafanya hivyo.Kuna kitengo kwenye NSA na CIA ambazo wana recruit wadada wa namna hiyo, "Economic Hitmen/Hitwomen". Wana akili sana na wanafundishwa kama alivyosema mkuu Sky Eclat.
Tafuta kitabu kinaitwa Confessions of an economic hitman cha John Perkins,utaona jinsi US na mataifa makubwa ya magharibi yanavyotumia mbinu hizi.
kuna sehem nilisoma wanasema Viongozi wengi wa bongo wanafanyiwa hii,unaletewa mtoto mzuri wa kulala nae kesho asubui atakuchelewesha hili ukifika usaini mikataba bila ya kuisomaUkifika level hiyo sasa, kabla ya kukutana na client, unapelekwa maduka makubwa kama Harrods au Selfridges, unapewa appointment personal shopper wako, unachagua vitu unavyohitaji, the cost is being taken care of.
Kama kuna dili sasa serikali inataka kusign mkataba, unapelekwa kwa huyo cleint, unamshawish aweze kukueleza uzito wa ule mkataba uliomleta, akikueleza, kesho unawapa info wazee wa kazi. Wanajua jinsi ya kumhandle jamaa zaidi wawini dili.
hapa unaweza kuchukua mpaka £200,000 kwa client mmoja.
My take, kusign mikataba waachiwe wanawake, hatushawishiki kirahisi.kuna sehem nilisoma wanasema Viongozi wengi wa bongo wanafanyiwa hii,unaletewa mtoto mzuri wa kulala nae kesho asubui atakuchelewesha hili ukifika usaini mikataba bila ya kuisoma
ahahah hapo sijajua labda kuna wanaume wanafanya hizo kaziMy take, kusign mikataba waachiwe wanawake, hatushawishiki kirahisi.
Mkuu White party,natumia simu,nashindwa kuweka link,ntaiweka muda si mrefu.Naomba link ya hicho kitabu kama unayo please
Wewe jamaa.
Unanikumbusha kuna pande za kufanyiwa masaji/kukandwa, hapo hapo unauliziwa kali na anaekufanyia masaji.
Kama uko tayari kuna kachumba kaofisi humo humo mnaingia mnamalizana, ila dau limeamka kidogo.
Sababu wanaofanya hizo shughuli sio choka mbaya, halafu matawi.
Na wako kikazi zaidi, si kimapenzi, na namba za simu hawatoi.
Bembeleza utakavyobembeleza, namba za simu hawatoi ng'oo.
Na mipira wala usisumbuke wanayo wenyewe
My take, kusign mikataba waachiwe wanawake, hatushawishiki kirahisi.