Beatrice Muhone

kwa kweli mie siijui nyimbo yake original maana zote ametoa ktk kitabu cha nyimbo za injili cha lutheran,bwana yesu yuko wapi,kijito cha utakaso n.k.sio mbaya lkn anaimba vizuri na hayo mabadiliko yake siyajui!ukimtukuza mungu haimaanishi ujiweke kijima.

nadhani si yeye tu, waimbaji wengi wa injili wa kizazi kipya wanaimba nyimbo za vitabun. si LUTHERAN, NI TENZI ZA ROHONI.

USHAURI..TAFADHALI AKILI MKICHWA & ROSELYNE MOJA..THIS IS A FRIENDLY FORUM...
 
DUUUU....!
INAPOFIKIA KUTOA COMMENT JUU YA "WATUMISHI TATA/UNBIBLICAL" BIBLE SHOULD BE THE REFERENCE NA SIYO "MARKET". SOKO LINATAKA LIPSTICK,MINI-SKIRT,WANJA,SAUTI NYORORO iliyolishwa asali na mayai mabichi E.T. C ILI "kazi"IUZIKE......! UJUMBE WA MUNGU UNATAKA "ANOINTING" ILI UWAFIKIE NA KUWABADILISHA WASIKIAO.....neno lasema ""kila asikiaye ujumbe masikio yatamuwasha""
TUOMBE SANA KWANI KAZI YA MUNGU INARUDISHWA NYUMA NA WATU "waliokwisha mjua"
 
nakushukuru mzee, kwa maneno machache umemaliza kila kitu.

nakubaliana pia na AK kuwa hayo wanyoonekana nayo kwa nje ndiyo yaliyojaza mioyo yao.

waimbaji kama hawa hata nikisikia kakutwa gest na promota wake sitashangaa, kwani kwake muhimu ni kufuata soko linataka nini! ni aibu sana, wanamsulubisha Mwana wa Adamu mara ya pili hawa na kumtumia kwa ajili ya monetary gains!
 
huyu mdada aliingizwa majaribuni na kibopa mmoja mkubwa serikalini ambae anakashfa nyingi tu, so ni kama kimada wake mpaka leo. noma tupu...
 
DUUUU....!
INAPOFIKIA KUTOA COMMENT JUU YA "WATUMISHI TATA/UNBIBLICAL" BIBLE SHOULD BE THE REFERENCE NA SIYO "MARKET". SOKO LINATAKA LIPSTICK,MINI-SKIRT,WANJA,SAUTI NYORORO iliyolishwa asali na mayai mabichi E.T. C ILI "kazi"IUZIKE......! UJUMBE WA MUNGU UNATAKA "ANOINTING" ILI UWAFIKIE NA KUWABADILISHA WASIKIAO.....neno lasema ""kila asikiaye ujumbe masikio yatamuwasha""
TUOMBE SANA KWANI KAZI YA MUNGU INARUDISHWA NYUMA NA WATU "waliokwisha mjua"

Asante sana!
Ila, Naomba tusimhukumu nasi tusije kuhukumiwa..
 
Heshima zenu wakubwa!

Mimi sio sana msikilizaji au muangaliaji wa nyimbo za huyo dada na wengineo.Hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo ambazo kwa sasa si lazima kuzitaja.Ila baada ya kusoma the whole story,nadhani si busara kumhukumu huyu dada kwa sababu kama kumtukuza Mungu anamtukuza.Kwani kuna sehemu inasema mtu ukiwa unaimba kwaya ni lazima ufie kwenye kwaya?I thought zote ni huduma za kumtukuza Mungu aliyetuumba?!Kila mtu anaitwa kwa karama yake.Mimi pia sidhani kama Mungu wa kweli anapenda wanadamu wakae kwenye state moja ya maisha na siyo kuendelea mbele.Au mimi nina mtazamo tofauti kuhusu neno maendeleo?If she is doing well kwenye shughuli zake za kumuimbi Mungu,si vyema kuanza kumnyooshea vidole kwa kufananisha na alipotoka.Kwani mtu mwingine akija na kusema pia hizi zote ni jitihada za shetani kuwa mnataka arudi nyuma mtakataa?Si kila mtu ana mtizamo wake?

Samahani sana kama itakuwa imemkwaza mtu.

Mbarikiwe
 
kuna mahali maandiko yanasema ukimsifu Mungu uwe kama wazimu? Musa aliambiwa 'enenda kwa watu wako, ukawatakase leo na kesho,wakazifue nguo zao, wawe tayari kwa siku ya tatu, maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote' ref: kut 19:10, hii inaelezea kuwa Mungu anapenda watu wasafi na walio smart...nadhani umenielewa

Preta, hongera mama kumbe na mambo ya injili unayapandisha!! Bwana yesu asifiwe1
 
Mimi nina hoja moja....tumelificha wapi lile andiko la kuwa "Usihukumu usije ukahukumiwa???" kwa sababu hata kama tunamuona Beatrice akianguka na sisi tukumbuke tuna mapungufu yetu, ndo mana hata Yesu kuna wakati aliwahi kuwaambia watu " anayejiona hana dhambi awe wa kwanza kumtupia mawe yule binti aliekamatwa akizini".....kitu tunachopaswa kufanya na kumuombea ili Mungu aweze kumnasua toka katika mtego alionaswa...huku tukikumbuka kuwa yale yanyomkuta yanaweza kutukuta na sisi pia....na kwa wale walio na ukaribu nae hasa wapendwa mpatapo nafasi fanyeni nae mazungumzo ili ikiwezekana arejee katika njia aliyoanza nayo safari.....

Maisha yana majaribu na mitego mingi,ukionamwenzako kanasa kinachotakiwa kufanyika ni kumpa mkono wa msaada wa kumnasua...
 
Heshima zenu wakubwa!

Mimi sio sana msikilizaji au muangaliaji wa nyimbo za huyo dada na wengineo.Hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo ambazo kwa sasa si lazima kuzitaja.Ila baada ya kusoma the whole story,nadhani si busara kumhukumu huyu dada kwa sababu kama kumtukuza Mungu anamtukuza.Kwani kuna sehemu inasema mtu ukiwa unaimba kwaya ni lazima ufie kwenye kwaya?I thought zote ni huduma za kumtukuza Mungu aliyetuumba?!Kila mtu anaitwa kwa karama yake.Mimi pia sidhani kama Mungu wa kweli anapenda wanadamu wakae kwenye state moja ya maisha na siyo kuendelea mbele.Au mimi nina mtazamo tofauti kuhusu neno maendeleo?If she is doing well kwenye shughuli zake za kumuimbi Mungu,si vyema kuanza kumnyooshea vidole kwa kufananisha na alipotoka.Kwani mtu mwingine akija na kusema pia hizi zote ni jitihada za shetani kuwa mnataka arudi nyuma mtakataa?Si kila mtu ana mtizamo wake?

Samahani sana kama itakuwa imemkwaza mtu.

Mbarikiwe

Asante sana mkuu housta. Point taken. Tena nawasifu hawa waimbaji wanaomtumikia Mungu kwa sifa. Pia si lazima ufie katika kwaya! Kila mtu ana karama na kipaji chake Mungu amempa, acha atumikie kipaji hicho katika kumsifu Mungu wake. Pia mbona Kwaya ya Lutheran Kijitonyama waimbaji wake ni wale pia walianzisha Upendo Group? Kwa mantiki hii msimsakame huyu dada Beatrice Mhone. Pia ieleweke kuwa anafanya kazi na mume wake akiwa kama promota. Ninazo DVD/VCD kadhaa za huyu dada na nyimbo zake ni purely kutoka vitabu vya nyimbo za lutherani,, hadi tenzi za rohoni. Na anavaa kimaadili sasa. Hata hiyo skirt mnasema nyuma fupi mbele ndefu, kwani huo ufupi wa nyuma was it of a mini-skirt design? Ni wakati umefika sasa tusichafuane katika mitandao maana najua katika wasanii wa nyimbo za injili kuna wafanya biashara at any cost na waimbaji walioitwa na Mungu. The formner group ndiyo wanaweza hata ku-post majina wa wenzao hapa ili kuwaharibia. Tuwe makini.

Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia alivyokuwa amevaa, nywele zake na muonekano wake hutasita kusema hakika huyu ni mtumishi wa bwana.

Hapo hapo nikachukua VCD yake (nafikiri kapigia picha Uganda) akiwa mwimbaji binafsi nikaangalia alivyovaa, alivyoweka urembo sura yake, nywele zake, anavyoimba, bila ubishi nikasema huyu dada lazima kuna mabadiliko katika maisha yake ya kiroho- yaani amerudi nyuma huihitaji kuwa na karama ya maarifa kubaini hilo.

Dada Beatice nakuomba rudia enzi yako ambapo ulikuwa ukiimba tunabarikiwa sana- nini kimempata huyu dada?

Umemwombea????
 
Husimhukumu mtu kwa kumwangalia mavazi au muonekano wa nje. Kama jamii inaonekana kununua Media Disk kwa kuangalia muonekano wa muimbaji....so be it as long anatunza integrity yake. Nahisi kama unahitaji kumuomba samahani kwa hiyo judgement.
 
Watu tunapenda kweli ku-jurge wenzetu

Ibrahimu alimega Housegirl - ndiye baba wa Imani leo
Yakobo aliwalamba ma-housegirl wa wake zake - mwanzo wa Israel
Musa aliua mtu pale Misri - ndiye mwanadamu aliyeongea na Mungu live
Daudi alimega mke wa mtu - mfalme mkuu sana
Samsoni alitoa siri ya Mungu
Kwa hiyo utaona kuwa majaribu ni lazima kwa ye yote aliyechagua njia ya ukamilifu. Sasa nyie mnaohukumu mngekuwepo enzi za hao hapo juu mngesemaje?
 
Mimi namjua ni mtoto aliyekulia pale nyuma ya chuo cha maji cha Rewgaulila ubungo kwenye flat za chuo kikuu,alikuwa mtoto mtiifu tangu zamani.hataki kushirikiana na wababaishaji.naamini ni mtu safi yeye na mumewe.sikubaliani na matamshi ya kihuni humu ndani.lasivyo tutatoana nduki sasa hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom