Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
umecharukia maandiko usiyoyajua!!!!!!!!!!........... Mungu angekuwa anataka watu wawe smart, nadhani Yesu angekuwa "bishoo" kuliko wote na hata msalabani angepanda na suti.................. jifunze kwanza umjue Mungu na tabia zake kabla hujaanza kuhubiri................ rejea tena mara nyingi sana imeandikwa kuwa mavazi yazunguzwayo sio ya nje wala vidani vya dhahabu, bali moyo safi uliopondeka, ndio ambao Bwana hataudharau.................
kwamba alichoandika ni cha uongo au umejisikia tu kucrash kwa kuwa umekariri kupinga tu?
tambua kuwa Mungu ni mpana sana, na tena si Mungu wa sheria bali ni Mungu wa neema
tena hakuandaa jehanamu kwa mavazi au kula, bali ni kwa watenda dhambi,
na wala hatamhukumu mtu kwa mavazi ya mwilini, bali kwa matendo ya roho yako,
mwili ni wa duniani unavaa vya duniani, bali roho ya mwanadamu ivae neno la Uzima
wa milele.