Beatrice Muhone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beatrice Muhone

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ntambaswala, Apr 12, 2010.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia alivyokuwa amevaa, nywele zake na muonekano wake hutasita kusema hakika huyu ni mtumishi wa bwana.

  Hapo hapo nikachukua VCD yake (nafikiri kapigia picha Uganda) akiwa mwimbaji binafsi nikaangalia alivyovaa, alivyoweka urembo sura yake, nywele zake, anavyoimba, bila ubishi nikasema huyu dada lazima kuna mabadiliko katika maisha yake ya kiroho- yaani amerudi nyuma huihitaji kuwa na karama ya maarifa kubaini hilo.

  Dada Beatice nakuomba rudia enzi yako ambapo ulikuwa ukiimba tunabarikiwa sana- nini kimempata huyu dada?
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Pole sana ndugu yangu. Jambo moja muhimu- TUMUOMBEE!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  I believe in INTERIORITY. It is good to appear awesome but also it is good to behave in a moral manner!
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu, hata mie ni mpenzi sana wa nyimbo za injili na nilishamshtukia............... kujibu nini kilimpata ni simpo sana............ alipatwa na tamaa ya pesa........ na dhani na umasikini ulimtia majaribuni, aliona nageimba na kwaya ya shangilieni, mapato yangeenda kanisani na yeye kubaki akimtukuza Mungu kama wito............ so akaona ajaribu ujasiriamali katka gospel music ambapo mapato yaliyosalimika mikononi mwa promota yataangukia mikononi mwake pekee na atakuwa na hiyari ya kuwagawia wanenguaji wake kadiri navyoona inafaa................ ugonjwa huu ndio unaowakumba wainjilisti wengi amabo hujidai wanaanzisha huduma zao binafsi za kuhibiri injili na baadaye kizigeuza huduma hizo kuwa makanisa na/ama madhehebu huru....................... nakubaliana na ushauri wa kuwaombea.............. lakini zaidi sana sisi wenyewe tuwe macho............ ni nyakati za mwisho hizi......................
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu umesahau kitu kimoja............ kimtokacho mtu mwilini (kinywani) mwake ndicho kiujazacho moyo wake!!!................. akiamini katika vitu vya nje ili kuuza CD zake, basi hayo ndiyo yaliyoujaza moyo wake!.............. je, atapata thawabu gani??...................... hapo sasa.....................
   
 6. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijamuona alivyobadilika...so i cant coment on that...ila sio siri katika wadada wanaoimba injili...nampenda sana huyu dada,wimbo wake kijito cha utakaso,si njia rahisi etc...huwaga nasikilizaga mpk nalewa!anaimba sana jamani...
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante mkubwa, nakubali!
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wala ule sio wimbo wake.................. kadesa tu ............. yaani ni mjasiriamali wa kidunia per se..................inaonekana huzijui nyimo za injili..................
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kuna mahali maandiko yanasema ukimsifu Mungu uwe kama wazimu? Musa aliambiwa 'enenda kwa watu wako, ukawatakase leo na kesho,wakazifue nguo zao, wawe tayari kwa siku ya tatu, maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote' ref: kut 19:10, hii inaelezea kuwa Mungu anapenda watu wasafi na walio smart...nadhani umenielewa
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hizo chache nanzozijua na kuzipenda zinanitosha!!...huyo aliyeimba hizo nyimbo mbili ni nani kama sio beatrice muhone???
   
 11. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimekupata,
  Ile sketi aliyovaa mbele fupi nyuma ndefu imevuka kiwango- labda vizuri uangalie mkanda wa shangilieni kisha ulinganishe yaani mabadiliko ni makubwa sana ila nachoshukuru meneja wake ni mume wake labda hiyo inaweza kusaidia kumdhibiti. Sijapoteza imani kwake kwasababu nilikuwa namkubali sana- labda kama alivyosema mwenzetu mmoja TUMUOMBEE kama hajaingia majaribuni asiiingie na kama kaingia basi atoke huko
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tafuta nawe utapata............... maana kila abishaye hufunguliwewa naye atafutaye huona............... acha uvivu.............. hizo nyimbo huenda ziliimbwa zamani kabla huyo mjasiriamali beatrice mhone hajazaliwa....................
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Ipo mistari fulani katika moja ya Album yake anamsukuru Mumewe Godfrey Muhone..hope bado ni Mumewe hasa..but has gone long way to tell.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  umecharukia maandiko usiyoyajua!!!!!!!!!!........... Mungu angekuwa anataka watu wawe smart, nadhani Yesu angekuwa "bishoo" kuliko wote na hata msalabani angepanda na suti.................. jifunze kwanza umjue Mungu na tabia zake kabla hujaanza kuhubiri................ rejea tena mara nyingi sana imeandikwa kuwa mavazi yazunguzwayo sio ya nje wala vidani vya dhahabu, bali moyo safi uliopondeka, ndio ambao Bwana hataudharau.................
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani huyu nimmsaka fweza tu.................. hakuna zaidi.............
   
 16. C

  Cotan Member

  #16
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Naye ni binadamu tu k wengine.wala usishangae.Watu wengi sn wajifanya wako wanafuata Mungu, kumbe wapi.WIZI MTUPU.KILA SIKU WANAJAA MISIKITINI NA MAKANISANI kwa inje ni watu lakini ndani mwao ni Mbwa mwitu wakali.Mungu atusaidie.
   
 17. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wacha shobo mtoto wa kike,kama unajua nani kaimba si uweke hapa???
   
 18. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ..............
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mie siijui nyimbo yake original maana zote ametoa ktk kitabu cha nyimbo za injili cha lutheran,bwana yesu yuko wapi,kijito cha utakaso n.k.sio mbaya lkn anaimba vizuri na hayo mabadiliko yake siyajui!ukimtukuza mungu haimaanishi ujiweke kijima.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mpwa wangu akili kichwani mbona leo una hasira?
  AU NI STRESS ZA BOX NA JUNK-FOOD?
   
Loading...