Halfu nawapa kifungua kinywa cha takwimu mahususi zakitaalam zilizofanywa na Mohamed Said, halafu tutaongee nikirudi kutoka shamba.
By Mohamed Said Salum
Table 1
Selection of Std.VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 -1981
Year Total Selected Muslims Percentage of
Muslims Selected
1978 956 216 23
1979 903 194 22
1980 1071 247 23
Source: Dar es Salaam City Council, Department of Education.
NB: In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67%, therefore thenumber of Muslim students in Dar es Salaam Primary Schools is greater than thatof Christians. This should have reflected in the selection.
Watu wanafukia huu uozo! Mohamed Said anajua kuingia chuko kikuu ni sawa na kupanda basi
Mohamed anasema eti idadi ya wanafunzi ilitakiwa iwe reflected katika sekondari na vyuo.
Huyu hajiulizi, wangapi waliandikishwa shule, wangapi walihudhuria, wangapi walipata mafunzo bora, wangapi walihitimu na wangapi waliachia njiani, au walimaliza tu kwa idadi.
Haya ni maswali very basic ambayo mtafiti wa kweli na siyo liar, alipaswa kujiuliza.
Mohamed akachukua data nyingine kutoka katika vigazeti akasema ni takwimu
Halafu hakuna analysis yoyote kuhusu hizo data mbili, akafikia conclusion
Unajua kuna jambo watu hawajui, hizi kazi za ubabaishaji na upotoshaji zinapoteza jamii na taifa kwa ujumla.
Leo wapo wanaoamini uvundo huu na masikini wameacha kujishughulisha wakijua Mohamed Said kawaambia ukweli
Tusimame pamoja tukartae wababishaji kama hawa.
Hizi data hata Fom6 hapaswi kuzifanyia kazi.
Hizi si data maana hata mwenyewe hawezi kuja hapa kutetea, amekimbia anajificha! anajua alichoandika ni Urongo
Mohamed Omba radhi kwa upotoshaji huu wa kizazi, omba radhi jamii ya wasomi kwa dhalili hii
Mimi naongea nawe, kwasababu ulipokuwa mtoni nilikuonya usioge na watoto, umeniita nimekuja !
Njoo hapa utetee uongo wako mweneywe. Mtu mzima unatutupia makapi ukidhani sote ni wapuuzi wa kumeza!
Njoo japa usikimbie