Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Acha upuuzi wewe, kaangalie kwenye dikshenari peper maana yake nini, after all Hirji sio Prof wa History, kama Profesa Kimambo angefanya hivyo walau ningepata shida.

Hata Basil Davidson angeandika kama alivyoandika Prof Hirji bado sio tabu sabab hakua Prof wa History, tatizo ni hili la Mohamed Said kutojibu hoja za Prof.
Wanaukumbi naomba msaada wenu mnisaidie kuna ili neno "Dikshenari" ni nini ni lugha gani.

Mimi najua tu neno "Dictionary"


Kwi kwi kwi kwi teh teh teh
 
Sasa kwa nini utumie lugha usioweza Ustadh?, na kama umeshindwa kuandika neno dogo namna ile je utawezaje kuwa na hoja za maana?,

Kwa sababu kama umeandika Peper badala ya Paper hii inamaanisha aidha ni kilaza, una pupa na hauna umakini.............
Nyie si mnajifanya infallible eeh, tutaenda tu sawa.
Sasa wewe bora ungekaa kimya tu unashindwa kuandika Dictionary unaandika Dikshenari halafu unajifia unajua kuandika kiingereza.

Hivi huko shuleni mlikuwa mnakwenda kusoma ujinga.

Haya nipe maana ya neno Dikshenari au Prof ulitaka kuandika Dictionary ukashindwa kiswahili ni kamusi hii Dikshenari umeipata wapi Prof.
 
Mohamed Said , hapa ulikusudia hizo ni hypothetical data au ulikusudia nini? Nieleweshe tafadhali

Halafu, non muslims kwanini wanakuwa eneo moja, je miongoni mwao hakuna data zinazoweza kuvuruga kabisa ushahidi wako? Nina maana kama no muslims wakiwa 90% pagans, 5% Atheist na 5% Christians , huoni kama utakuwa umepoteza miguu ya hoja yako! Na kama si hivyo, hebu tueleze non muslims ni akina nani na wapo katika % gani


Mohamed Said , hatuna kahawa hapa na watu wanakusubiri
huna haja ya kutafuta majibu la hili, kihistoria watu wengi tanzania walikuwa na majina ya kiisilamu au ya lugha za asili, kuvaa barakhashia . na hili ndiyo kosa ya jumuia ya kiisilamu kuamini wale ni waisilamu, wale walikuwa wapagani, watu walioona hiyo ni miisionaries, nao wakawa wanafungua shule, makanisa na hospitali kwenye "predominantly" muslim areas, kama bagamoyo, kimanzichana, lindi mtwara , singida etc , swali la miaka ya zamani ilikuwa "jamani hawa watu wanafuata nini huku" miaka ikaenda na makanisa yanajaa, this is to the extent ya population growth ya wakristo kwenye assumed muslim areas ni kubwa. Leo kwa mfano pentecostal church temeke district alone wana makanisa in excess ya 1000, hii ni dini ya very recent. hii ni kwa ile mantiki usimuone mtu anaitwa ali , ukafikiri huyu swala tano, wengi walikuwa hawana didni na wamevunwa wote,
 
Kuna choice na option, kuna wakati unaweza kuchaguwa option pasipo choice kama nia yako hasa ni kujumuika pamoja kuelimika na kuelimisha.

Kuna gape naiona kwenye michango yako kuna wengi wanapitwa na michango yako kwa sababu ya choice yako.

Au nikuulize swali dogo unadhani ni kwa nini JF kuna jukwaa rasmi la kingereza na linakosa wachangiaji? Je Member wengi hawajui kusoma kuelewa na kuandika kingereza?

Nina imani hata Mzee Mohamed Said angechaguwa lugha ya kingereza kama ndio lugha yake rasmi hapa JF basi hata mada zake zingekosa mvuto.

Binafsi am fine sina tatizo nakusoma vyema tu.
Matola una kumbukumbu finyu, jikumbushe chini hapo, tena ilikuwa ni mada ya Al Alama Mohamed Said ukasema the opposite ya unachodai sasa hivi.

English please.

"Damned if you do, damned if you dont" - Eleanor Roosevelt.

cc Punjab Singh
 
Prof Karim Hirji kanifurahisha aliposema wakati tunaandaa mitaala yetu UDSM kitengo cha Historia kilikuwa at its best in Africa! Tumepata uhuru wenye degree walikuwa wachache

Akapiga msumari kuwa

"Mohamed Said's claims are . . . . . . . . . EXTREME"

HUYU MZEE NI EXTREMIST
Extremist ni boko haram, Islamic state , al Shabab , al queda, sasa Sijui na uamsho Kama kimekuwa categories hivyo ?? Au kipo managed
 
Prof Karim Hirji kanifurahisha aliposema wakati tunaandaa mitaala yetu UDSM kitengo cha Historia kilikuwa at its best in Africa! Tumepata uhuru wenye degree walikuwa wachache

Akapiga msumari kuwa

"Mohamed Said's claims are . . . . . . . . . EXTREME"

HUYU MZEE NI EXTREMIST

Oooh "Professor" Hirji kamsifu namna hiyo Al Alama Mohamed Said, raha sana basi.

ex·treme
ikˈstrēm/
adjective
adjective: extreme
1.
reaching a high or the highest degree; very great.
"extreme cold"
[TABLE="class: vk_tbl vk_gy"]
[TR]
[TD="class: lr_dct_nyms_ttl"]synonyms:[/TD]
[TD]utmost, very great, greatest, greatest possible, maximum, maximal, highest, supreme, great, acute, enormous, severe, high, exceptional, extraordinary

Chanzo: https://www.google.com/search?q=define+extreme&ie=utf-8&oe=utf-8


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Baada ya Prof. wa ukweli Karim Hirji kuwashika pabaya ndio sasa unaona haja ya kujishusha!


Sisi siku zote ni wakujishusha tu, jisomee:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Waislam wenzangu nawaomba twende nao taratibu hawa ndugu zetu bila lugha za maudhi, tutafika tu.

Mbona mada ni nzuri sana na kila hoja tunayoipanguwa wanakuwa hawana majibu. Mmeona hoja moja ndogo jana ilivyowachachafya mpaka wamebadili post nzima, mpaka "Professor" kaingiwa na kiwewe, kila anavyoomba msamaha anaona bado, post zake zote tatu za mwanzo (sijuwi kama kuna nyingine) ameomba na kila anavyoomba anaona hajaeleweka.

Hizo ndiyo nguvu za ukweli.

Naomba twendeni kwa maudhui iliyokuwepo hawa wenzetu wanaleta kejeli na tashtiti ili kututoa kwenye hii mada wanajuwa hii ni maji ya shingo kwao.

Nawaomba tulieni, mwacheni mwenye kutukana na atukane sisi tubaki kwenye hoja tu.

Sasa kuna nyingine ambayo niliigusia gusia jana wakajifanya hawaioni, leo kuna mmoja anaitwa Chintu kachokoza, nimempa heshima yake kwa kumpa darsa dogo kwa aliyoleta kama "reality" ya Hirji, Subhanna-Allah, kumbe aliyodhani ndiyo reality ya Hirji hakujuwa kuwa anaumeza mwiba usiomezeka, sasa umemkaa kooni, anajuta kwa nini.

Tumsubiri avute pumzi labda atapata ahueni.

Nawaomba kaka zangu, wadogo zangu, wakubwa zangu, wanangu, tutulie na tusiwe kama wao.

Pole Chintu.
 
Baada ya Prof. wa ukweli Karim Hirji kuwashika pabaya ndio sasa unaona haja ya kujishusha!

Msome hapa Prof Hirji...


Haya ndiyo maneno ya Hirji:

The volume of historic detail in Mohamed Said’s paper, Tanzania: A Country without Heroes, is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partly acknowledged or completely suppressed in the official, popular and even scholarly discourse.


Mnataka Mohamed Said ajibu nini hapo?
 
Kwa maana nyingine unatufahamisha kuwa Hirji kadandia treni kwa mbele. Kuna kitu niliuliza sijapata jibu, naomba nisaidie jibu:

Haya ndiyo maneno ya Hirji:

The volume of historic detail in Mohamed Said’s paper, Tanzania: A Country without Heroes, is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partly acknowledged or completely suppressed in the official, popular and even scholarly discourse.


Mnataka Mohamed Said ajibu nini hapo?

Kwani Basil Davidson ambae sio Prof wa History, nae amedandia treni kwa mbele?, Ritz ngoja nkufundishe maana umeshindwa kuelewa sasa unatapa tapa, hatuandiki Peper, tunaandika Paper, tena ulirudia kuandika mara mbili, kumaanisha kwamba ulikua hujui, sasa ole wako urudie tena, kwih kwih kwih.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy,
This is where the cardinal error of Karim Bhai. If we could believe the so called 'childish error' on Mau Mau figjting the Germans does he expect us we coudn't find The Four Imaginary People? And yet the diehards like Nguruvi3 insists on Prof. M.Said response! We have have responded on his behalf and now it is time that Karim Bhai to apologize for calling Prof. Mohamed Said a liar and all those negative accusation against him.

Hili ndio zao la Madrasa. Ahsante sana Mkuu Punjab Singh. Hebu tupe kile kiswahili chako tucheke.
 
Mpaka 1985 nilikuwa sijauona utajiri wa Mengi, Bakhresa na wengineo wengi, sijuwi ilikuwaje wakaibuka ghafla tu baada ya hapo?

Moja ya nchi zenye kipato kikubwa duniani ni USA, cha kushangaza, nimewashuhudia masikini tena omba omba mitaani. Umeshatembelea New York?

USA has 46 million citizen living below the poverty line. That number is equvalent the entire population of Tanzania and more!
 
Hili ndio zao la Madrasa. Ahsante sana Mkuu Punjab Singh. Hebu tupe kile kiswahili chako tucheke.

Lady FaizaFoxy, sasa taka leta tania ndani ya kazi? Sisi iko kazini hapa! Karim Bhai nafenza tani ndani ya kazi leta Nyang'au ya Kericho ndani Kijiji ya Tanganyika pigana na Germans alafu sema yeye fanya 'kosa ya chiku'!! Hebu fikiri sasa mimi na wewe takubali kweli? Wewe kuona hapo ipo 4 ghosts yeye kaweka badae natumia as hypothesis kufanya criticism kwa Prof. Mohammad Said, sasa yeye fikiria sisi kula chana bateta ya jumbani yake rahisi rahisi si ndio? Pls kumpa salam ile kijana Matola. Yeye taka learn English basi akuje pale Gerezani Sikh Temple yetu tasaidia sisi peleka fanye course moja ile TOEFL.
Pls sicheke sana mimi kujua swahili zaidi kupita kaka yangu Bhipin Bhai.
Asanta sana.
 
Last edited by a moderator:
Sibonike Usiwe na haraka ya kutoa hukumu. Mjadala ndiyo kwanza unaanza.

Ila nitakudokeza moja tu. Prof. Hirji awe kama atakavyokuwa.

Hakubeba mzigo waliobeba Waislam katika ukoloni toka Wajerumani hadi Waingereza .

Ukitaka kujua mtoto yatima anahisi vipi kufiwa na wazazi wake wawili muulize
mwenyewe.

"mwanangu siku ya Iddi watoto wenzako wamevaa nguo mpya wamenunuliwa na baba zao wewe huna umejikunyata kibarazani
na matambaa?"

Jibu lake litakusogeza kwenye ukweli na uhakika. Prof. Shivji hajapita tulipopita sisi.

Atazungumza na shingo kutoa kwa kuwa hana hata uzoefu wa mtoto wa shangazi yake katika haya Waislam wanayolalamika.

Suali moja nitapenda Prof. Hirji anijibu. Upungufu katika historia ya Tanganyika aliujua lini?

Aliujua kabla au baada ya Mohamed Said kuusema? Ikiwa aliujua kabla kipi kilimfanya akae kimya siku zote hizi?

Uoga au kitu gani?

Ilikuaje Prof Hirji asipate taabu kama Waislamu wengine, ilihali umetueleza mkakati ulikua wa kuwaonea Waislamu??? au yeye alikua Mkristo hapo awali???
 
Ngongo na Nguruvi3

Nimepitia post #1 "full version" na nikapitia kwenye "paper" ya Al Alama Mohamed Said inayojadiliwa hapa, sijaziona hizo takwimu zenu, labda nyinyi mnioneshe chanzo chenu: Seminar: TANZANIA - A COUNTRY WITHOUT HEROES - Mohamed Said

Au ndiyo mmeamuwa kuleta u ndute na u mbwambwambwa kwenye mada?
Mojamed Said njoo hapa uthibitishie vijana kuwa takwimu si zako, zimebuniwa. Nakuonya ukijaribu kupindisha ukweli nachukua iliyobaki, maana hadi sasa ni surual mkononi!
 
Back
Top Bottom