FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Ngongo na Nguruvi3Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea watakupatia jibu hawa waheshimiwa mi nasubiri viroja.
Nimepitia post #1 "full version" na nikapitia kwenye "paper" ya Al Alama Mohamed Said inayojadiliwa hapa, sijaziona hizo takwimu zenu, labda nyinyi mnioneshe chanzo chenu: Seminar: TANZANIA - A COUNTRY WITHOUT HEROES - Mohamed Said
Au ndiyo mmeamuwa kuleta u ndute na u mbwambwambwa kwenye mada?