mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
big show ritz bill cosby mimi wala sintogombana na mtu. niishie tu hapo coz sio rahisi kuelewana tunajuana sisi.
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.
Benki gani ya Mkombozi ile inayoshirikiana na wana kwaya kuchota pesa serikalini.Ok sasa kwa mfano tuseme uhuru umeletwa na waislamu watu wakakubali. Itatuongezea nini? vyuo? mashule? au dispensaries? au ajira
Vipi hii nguvu tungetumia kupiga harambees za kuanzisha projects zetu?tungekuwa wapi? sisi tunalalamika tunamlalamikia nani? je ata akitusikiliza itatuongezea nini? tuthink big jamani.
wenzetu wanazidi kupiga hatua wanajenga mavyuo kila kona mpaka mabenk sisi tumekaa kulalamika tunasubiri tuletewe mikononi. Ubinafsi mtu akipata hasaidii wenzake na hataki kuhusishwa na waislamu wenzie, au aliye na mwanga ni kazi ya kuchochea mapambano ya kutumia nguvu badala ya kupanga mipango tuhamasishane vipi kutengeneza vya kwetu.kwa kweli ni mengi..ila inaumiza sana . ila tutafika tu
Hv ww unaejiita mr gentleman mbona kazi yako kulialia tu hapa Jukwaan kama Dumuzi? Hv ushawahi ona wapi Mtoto wa Kiume wa Kislam mwenye tabia kama hzo zako? Nani amekulazimisha ww kua Muislam? Si uende huko unapoona panakufaa na utakua na amani kusema kua ww ni Mpagani? Watu tunafuatilia vitu vya maana ww unakatakata viuno tu., nmekujibu hapa kwa kua unazingua ss kama unalazaidi fungua Uzi.. ,
Wewe km Ni Muislamu kweli basi Una ukoo mmoja na Jongo!
Ni ktk wale Waislamu Walalahoi.
Vurugu waanzishe makafiri Kelele upige wewe! Au Undugu na Huyu Profesa wa Kiirani?
Mimi tangu nimemfahamu Mzee Mohamed Said hapa JF kwenye minakasha kama hii nimembaini ni mtu anayependa adabu kwenye mijadala na ndio maana ni mtu makini katika maandiko yake.
Wewe Mwanamke unayejipambanuwa kama Mwanamke wa Kiislamu hivi ndivyo ulivyofunzwa kuwasiliana mbele ya barza iliyojaa wanaume akiwemo Mzee wetu MS? Huna meneja?
Au unadhani wengine hatuyajui matusi na lugha za kuudhi? By the way wewe ndio punjab Singh?
Jirekebishe, badirika usitake kuharibu mjadala.
Sawa tumekusikiabig show ritz bill cosby mimi wala sintogombana na mtu. niishie tu hapo coz sio rahisi kuelewana tunajuana sisi.
kaka najua nawakwaza ila inatia uchungu kila siku yale yale mtu unaambiwa angalia ndugu zako jamiiforums wameshaanza fujo zao ss ata mjadala upo wap hapa..fungua akili kaka haipendezi[/QUOTE
mr gentleman hao ni Warabu wa Pemba hvyo wanajuana kwa Vilemba vyao.., na ndo mana unaona wanarushiana maneno na bado wanajadiliana, kosa lako ww ni kutoka nje ya Maudhui kwa kukashifu Dini za watu.., ndo mana sie wengne tusokua na lakuchangia tupo pembeni tunachuja Pumba na Mchele.., hivyo nakusihi nawe tukae Pembeni laa uwe na lakuchangia ndani ya Mada!!!
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.
Naona unataka kumkimbiza kabisa Prof wetu Hirji.
Hypothetical Secondary School Enrolment Data At Uhuru 1961
At Uhuru 1961
Muslim Christian Total
200 (1%) 800 (4%) 1000% (2.5)
19,800 (99%) 19,200 (96%) 39,000 (97.5%)
20,000 (100%) 20,000 (100%) 40,000 (100%)
A Decade Later 1971
4,000 (13%) 6,000 (20%) 10,000 (17%)
26,000 (87%) 24,000 (80%) 50,000 (83%)
30,000 (100%) 30,000 (100%) 60,000 (100%)
Mohamed Said njoo utasaidie kutafdiri data zako.[/COLOR]
By Mohamed Said Salum
Table 1
Selection of Std.VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 -1981
Year Total Selected Muslims Percentage of
Muslims Selected
1978 956 216 23
1979 903 194 22
1980 1071 247 23
Source: Dar es Salaam City Council, Department of Education.
NB: In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67%, therefore thenumber of Muslim students in Dar es Salaam Primary Schools is greater than thatof Christians. This should have reflected in the selection.
Utawakana hadi nduguze katika imani, mie niko pembeni nasubiri m~`break wind' hadi kande ziishe then nitarudi
Huyu proffesa ni ismaili.
Mungu wao ni agha khan.
Hawa wana majina ya kislam but sio waislam .
Uliona wapi ismaily mwarabu ? Au mwafrika labda kama kazalishwa nae tena kinatengwa hukooo.
Nguzo za islam ni 5
Hawa ismail hawasali
Hawafungi
Hawaendi kujiji
Hawatoi shshada
Hawatoi zaka ila kwa familia
Wanauza pombe
Wanacheza kamari
Hivyo huyo profesa msimuweke huku yeye ni maslah
Al Maaruf THE BIG SHOW na Al akly Ritz
Katika ukurasa wa 37 wa kitabu cha Sivalon, naomba munionyeshe wapi imeandikwa kuwa Nyerere na Wakatoliki wameua EAMWS. Kuna uwezekano kabra langu limeliwa na panya, sasa nisaidieni wapi kuna hiyo link
Msiweke dhana, nataka muweke connection
Nilikupinga sana...kwa kua biased...na nikakwambia hata hao wanaopenda aina ya uandishi wako ni vilaza... U wea very biased.
Aksante kwa proff kutuweka wazi. nadhani inafaaa utafute fani nyingine that will relate to who you really are. (Sheikh..or.. Imam) but uandishi no huwezi Mr Mohamed Said.
Ok sasa kwa mfano tuseme uhuru umeletwa na waislamu watu wakakubali. Itatuongezea nini? vyuo? mashule? au dispensaries? au ajira
Vipi hii nguvu tungetumia kupiga harambees za kuanzisha projects zetu?tungekuwa wapi? sisi tunalalamika tunamlalamikia nani? je ata akitusikiliza itatuongezea nini? tuthink big jamani.
wenzetu wanazidi kupiga hatua wanajenga mavyuo kila kona mpaka mabenk sisi tumekaa kulalamika tunasubiri tuletewe mikononi. Ubinafsi mtu akipata hasaidii wenzake na hataki kuhusishwa na waislamu wenzie, au aliye na mwanga ni kazi ya kuchochea mapambano ya kutumia nguvu badala ya kupanga mipango tuhamasishane vipi kutengeneza vya kwetu.kwa kweli ni mengi..ila inaumiza sana . ila tutafika tu
...what about that?
Vurugu zipi yaani mtu anakuja kutudanganya kuwa Mau Mau walipigana na Ujerumani tukae kimya tu tukimjibu tunaonekana watu wa vurugu siyo?