Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,488
- 42,564
lusungo , nadhani hukuelewa maana yangu niliyokusudia. Kwanza, nina uafahamu wa EAMWS kuliko wapiga debe wengi humu. Pili, Nyerere alitumia Waislam kuiua EAMS. Waislam wakajigawa Weupe na Weusi hata Mohamed kaandika.
Kubwa zaidi lililofanya nilete kipande hicho ni kuwa Mohamed amedai kwa maandishi kuwa Wakatoliki na Nyerere walishirikiana kuua EAMWS. Fair enough kwa maoni yake. Akaenda mbali na kumnukuu Padre Sivalon katika kitabu chake na ukurusa kama ushahidi wa hilo. Ukisoma ukurasa huo hakuna mahali imeandikwa hiyo kuwa Nyerere na Wakatoliki washirikaine kuua EAMWS.
Hii maana yake ni kuwa Mohamed alitafuta link isitokuwepo akajua wote ni watu wa kumsikiliza akaeleza URONGO.
Nimeshindwa kuipandisha hiyo page hapa jamvini
Maana yake ni kuwa huyu mtu ni hatari, anaweza kutunga maneno katika azma yake ya kuleta farki katika jamii.
Hivyo point kubwa ilikuwa kuonyesha sehemu tu ya ubabaishaji wa Mohamed.
Nina vitu, wakitulia kutukana namwaga! nimetoka shamba ngoja nikajimwagie maji kidogo
Sawa mkuu Nguruvi3
Nimefurahi kukubali kuwa Nyerere alikua engineer Wa kuimaliza EAMWS
Wengi hawajui mambo mazito yaliyoigubika nchi hii tangu Uhuru mpaka Leo...
Nyerere alipokuwa kwenye harakati za ukombozi ni wazi kanisa lilimwacha kando lkn ghafla lilikuja kumkaba baada tu ya kukamata dola tena wakishirikiana na wakoloni...
Kuna visa vingi mno vya Nyerere na kanisa katoliki ambavyo hatupendi kuviweka wazi...
Wengi wanadhani Nyerere alilibeba kanisa kwa kupenda kumbe kulikuwa na mengi nyuma ya pazia na Kama Nyerere angekua na ukristo Sana ndani yake asingekataa uhusiano na Israel...
Nguvu za kanisa zimeitesa nchi hii tangu Uhuru mpaka Leo ndio maana tunaona hata marais waislamu bado hawafurukuti....
Hao unaowasema waislamu walioshiriki kuivunja EAMWS ni vibaraka tu Wa kanisa waliojivika vazi la uislamu....
Ngoja niishie hapa maana naweza vunja fumbo La imani nililoapa kulilinda wakati Wa kipaimara.
Last edited by a moderator: