Mash'kuura yaa ukh'y FF.
Hata mimi naingia wasi wasi na huo U-Profesa wake isije kuwa kama ule wa Maji Marefu.
Mwenye CV yake jamani naomba tafadhwali aiweke hapa. Tusije pata dhunuub kwa dhan'na.
Hahaha we mama nachelea kusema uwezo wako wa kuargue mambo ni mdogo,
kfhirji ameshaomba radhi kwa alichoandika Mau Mau badala ya Maji Maji, ambao hatujashikwa na Dini tukakuambia ni makosa madogo madogo,
Sasa punde tu wewe mwenyewe umekosea badala ya kuandika Tumekusoma, ukaandika tuekusoma.
Mbona Banzi lililopo jichoni kwako inakua ngumu kuliona?
Bado hujajibu Swali langu, nmekuuliza hivi
Mohamed Said anaamini Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na Waislamu, Je unakubaliana na hilo.
Nimejibanza Hapa mtaa wa Uhuru karibu na duka la mshihiri huku nikila kashata baada ya kuchoma mahindi kwa muda sasa
Tehe! tehe! tehe!
Du! sina mbavu!!!!!
na omba msamaha wenu. Haata profesa anaweza kufanya kosa la kitoto. Maana yangu ilikuwa
maji maji lakini kwa haraka niliandika mau mau.
Lakini kosa dogo kimoja kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima.
Ni wale ambao hawataki kufikiria mambo kwa kiundani ndiyo watayanganganyia makosa madogo
madogo.
Prof. Karim hiri
it's funny how you wanna smear the whole article over some minor typo!for me you seem to be out of crticism on the subject matter,the prof has apologised already for that.You hang on to that error as your only defense over your defeat.Again,For me,that is childish and baseless.Professor, Mau Mau na Maji Maji wapi na wapi? Muombe msamaha Al Alama Mohamed Said uliyemfanyia makosa ya kutia maneno yako yenye makosa kinywani mwake.
Professor, nimesema juu huko kama ingekuwa umeleta hii argument yako kwenye jopo la wasomi na kuna chairman basi it was good for garbage bin na ungeshaambiwa kaa chini wasikilize scholars wanaongea nini.
Kukiri kwako makosa ya Kihistoria kwenye critique paper kumeshatoa thamani ya maandiko yako hayo, na si moja tu kama unavyodhani, nisome vizuri, kuna ligine kubwa zaidi ambalo wakala wako KVM ameleta justification ya cadaver wa medical students. Khaa!
Tumekusamehe kwa makosa, kajipange upya na I hope utamuomba msamaha Al Alama Mohamed Said kwa kutia maneno yako yenye makosa kinywani mwake, karudie uone hayo makosa kabla hujamuomba masamaha, ili uhakikishe kuwa kosa si dogo kama unavyotaka lionekane, ungefanya kosa lako mwenyewe la kiuandishi ningekuelewa kuwa kweli ni dogo. lakini la kumtilia mtu maneno ambayo si yake? hilo mpaka umuombe yeye uliyemzulia msamaha.
Mkuu Nguruvi3.Kadri nitakavyojaaliwa!
''Said anamaanisha kuwa waislam walikuwa mstari wa mbele katika uasi wa mau mau dhidi ya Wajerumani. Hata hivyo, ameshindwa kutambua kuwa Wajerumani walitumia kiswahili. na kwa nyakati, maandishi ya kiarabu kuutekeleza ukoloni.
Hilo lilipingwa kwa nguvu na wamishenari wakristo. Mamlaka ya kikoloni ya wajuerumani ilitumia mfumo uliokuwepo wa madrasa kupata makarani wa kada ya chin''
As the author of the article being discussed, I would like to make a few important corrections and points:
1. There was an unfortunate typographic error; in haste I wrote Mau Mau instead of Maji Maji. I apologize
for this error on my part.
2. The version of my article on this website is an INCOMPLETE VERSION. THE FINAL SECTION INCLUDING
THE CONCLUSION HAS BEEN CUT OFF. SO THE FORUM MEMBERS HAVE NOT GOT THE FULL STORY. I
HAVE SENT THE FULL VERSION TO THE MODERATOR. PLEASE READ IT.
3. My main aim is not to contest historic details but to expose an erroneous way of thinking.
4. I am not pro-Christian, pro-Muslim, pro-Hindu etc. but simply pro-Tanzania who wishes to see
mutual harmony and tolerance between all religions, creeds, races, ethnicities, etc.
5. As I write in my conclusion, I regard Mohamed Said as a key intellectual voice in our society
who needs to be heard.
6. But if anyone including him promotes flawed views, we should be free to criticize them.
7. Let us discuss important issue affecting our nation in a brotherly sisterly spirit. Otherwise, if we
fight among ourselves on narrow grounds, only the enemies of the nation and exploiters of the
common person will benefit.
Prof. Karim Hirji
Ndugu yangu utakuta Hirji ana CV ndefu hapa mpaka Dodoma lakini umakini ndiyo kama huo kwenye post namba 1 anapingana na historia kwa "Hypothetically Data". Halafu ana justify kwa cadaver wa medical students!
Sijui ndiyo huyu aliyeiingia anajiita kfhirji?
it's funny how you wanna smear the whole article over some minor typo!for me you seem to be out of crticism on the subject matter,the prof has apologised already for that.You hang on to that error as your only defense over your defeat.Again,For me,that is childish and baseless.
red:am glad you did not generalize to include me,for me a typo is minor and i can never discredit the work of anybody over that!!!!the bottom line is"he apologized and corrected"..now make your argument over some other areas.Some minor typo when it comes your own writing and not putting your errors into somebody's writings and claim he wrote it. No matter how childish it may seem to your big brain, Professor kfhirji confessed and apologized for the error but unfortunately he confessed to the wrong people, he ought to apologize to Al Alama Mohamed Said which whom he erroneously quoted.
Call it smear or whatever you wish but Professor@KFHirji understood my arguments that this paper is good for garbage bin and that's why he diplomatically came with a "full version".
Being Professor is a huge burden and a simple mistake from THE Professor can have a huge impact and cause a lot of harm as many of us think Professors are always correct and we were already thinking of changing our mindset on history of Mau Mau and The Germans.
na omba msamaha wenu. Haata profesa anaweza kufanya kosa la kitoto. Maana yangu ilikuwa
maji maji lakini kwa haraka niliandika mau mau.
Lakini kosa dogo kimoja kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima.
Ni wale ambao hawataki kufikiria mambo kwa kiundani ndiyo watayanganganyia makosa madogo
madogo.
Prof. Karim hiri
red:am glad you did not generalize to include me,for me a typo is minor and i can never discredit the work of anybody over that!!!!the bottom line is"he apologized and corrected"..now make your argument over some other areas.
Pata darsa kiduchu hapa chini.
Mwaka wa 1951 wakati Dossa na wenzake wapo katika juhudi za kuipa uhai mpya TAA Dossa aliandikiwa barua na V.M. Nazerali aliyekuwa mjumbe wa Baraza la Kutunga Sheria akimuomba Dossa aunge mkono juhudi zake na za Ivor Byaldon na Brig. Scupham za kutaka kuunda chama cha siasa kitachowashirikisha watu wa rangi zote. Bayldon na Brig. Scupham walikuwa kama alivyokuwa Nazerali, wajumbe wa Baraza la Kutunga Sheria.-Wanasiasa wengine walioombwa kuunga mkono juhudi hizi walikuwa Chifu Kidaha Makwaia, Liwali Yustino Mponda wa Newala, Dr. Joseph Mutahangarwa, Chifu Abdieli Shangali wa Machame, Chifu Thomas Marealle wa Marangu, Chifu Adam Sapi Mkwawa, Chifu Harun Msabila Lugusha, Dr. William Mwanjisi, Abdulkarim Karimjee, Dr. Vedas Kyaruzi, Liwali Juma Mwindadi, H.K.Viran, Stephen Mhando, Ally Sykes na Abdulwahid Sykes. Dossa na wenzake waliikataa ghilba hii kwa kuwa lengo lao lilikuwa ni kuanzisha chama cha siasa cha Waafrika wa Tanganyika kwa minajili ya kudai uhuru.-Mwalimu Nyerere alipofika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mwaka wa 1952 kama mwalimu wa shule ya St. Francis' College, Pugu hakuna mtu aliyekuwa anamjua au kupata kusikia habari zake katika ulingo wa siasa. Kassela Bantu ambaye alikuwa akijuana na Nyerere kwa siku nyingi alimchukua Nyerere kwa Abdulwahid Sykes kumtambulisha. Wakati ule Abdulwahid alikuwa Rais wa TAA. Nyerere mara moja akajiunga na baraza la siasa lililokuwa likifanyika Mtaa wa Mbaruku nyumbani kwa Dossa. Ikawa kila Jumapili Nyerere anakuja kutoka Pugu kuja kumtembelea Dossa. Ilikuwa katika baraza hii ndipo Nyerere alipokutana na wanasiasa wengi wa wakati ule kama Ramadhani Mashado Plantan aliyekuwa anamiliki gazeti lililokuwa likijulikana kama Zuhra, John Rupia, Dunstan Omari, Zuberi Mtemvu na wanasiasa wengine. Fikra za Nyerere za kudai uhuru zilisikika kwa mara ya kwanza kupitia kalamu ya Mashado Plantan na gazeti lake la Zuhra lililokuwa likitoka kila siku ya Ijumaa. Fikra za Nyerere ziliingiza msisimko mpya katika baraza lile na haukuchukua muda mwaka 1953 uongozi wa ndani ukampendekeza agombee urais wa TAA.
Indeed that was my question to you, go to post number one and remind yourself on "Hypothetically...Data...", is that your post or not?
And you came up with this:
By KVM
why would he write something which is not there?
And I asked you:
By FaizaFoxy
You call "hypothetical... data" something which is there?
Is your memory in retirement too? like that of Professor Hirji.
As the author of the article being discussed, I would like to make a few important corrections and points:
1. There was an unfortunate typographic error; in haste I wrote Mau Mau instead of Maji Maji. I apologize
for this error on my part.
2. The version of my article on this website is an INCOMPLETE VERSION. THE FINAL SECTION INCLUDING
THE CONCLUSION HAS BEEN CUT OFF. SO THE FORUM MEMBERS HAVE NOT GOT THE FULL STORY. I
HAVE SENT THE FULL VERSION TO THE MODERATOR. PLEASE READ IT.
3. My main aim is not to contest historic details but to expose an erroneous way of thinking.
4. I am not pro-Christian, pro-Muslim, pro-Hindu etc. but simply pro-Tanzania who wishes to see
mutual harmony and tolerance between all religions, creeds, races, ethnicities, etc.
5. As I write in my conclusion, I regard Mohamed Said as a key intellectual voice in our society
who needs to be heard.
6. But if anyone including him promotes flawed views, we should be free to criticize them.
7. Let us discuss important issue affecting our nation in a brotherly sisterly spirit. Otherwise, if we
fight among ourselves on narrow grounds, only the enemies of the nation and exploiters of the
common person will benefit.
Prof. Karim Hirji
KVM,
Ningependa Prof. Njozi angekuwapo hapa akakujibu mwenyewe.
Juu ya hayo...
Kwani madrasa ina ubaya gani?
Mimi nimesoma mengi ninayochangia hapa katika madrasa.
Kubwa nililofunzwa katika madrasa ni adabu ya mnakasha.
Yaani adabu ya mjadala.
Elimu hii alinifunza Maalim Haruna.
Allah amrehemu.
Sasa ni juu yako kunipima kama elimu ile imenifaa au vipi.
Dada yangu Faiza husema sisi tunakwenda chuoni tukiwa wadogo na
nyie wenzetu mnaingia chuoni watu wazima.
Mengine nimeyaacha kuyajibu kwa makusudi.
.....ASISUBIRI WATU WAKAE CHINI WAANDIKE KISHA NAYEYE AJE KUANZA KUSEMA KWAMBA HAIKO HIVYO TENA BILA KUWEKA USHAHID WA WAZI KUPINGA HIKO KILICHOANDIKWA NA MTAALAM MOHAMED SAID
VIPI BWANA PROFESA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA MTAALAM MOHAMED SAID??
AMECHELEWAA,,AU LA BASI AJE NA USHAHID WA KUBACK UP HOJA YAKE.
:rockon: :rockon: :heh:
Bado hujanijibu swali langu, jee Mau Mau alipigana na Muingereza? ya kfhirji mwachie Hirji, hili ni swali kwako wewe. Hirji nilishamwabia hiyo argument yake is good for garbage bin especially kama inatokea kwa mtu anaejiita professor, ingetokea kwa mtu kama wewe walaa hainipi shida, nnauona uwezo wako ni zaidi ya Hirji.
Tulieni wakolosai
Humu kuna watu wazima na wasomi wanadiscuss vitu vya msingi
Kama mkijifanya wahuni na vihiyo mkajitoa ufaham na kuanza kuongea uhuni basi kuna wahuni humu zaid yenu na tutakula sahan moja na nyinyi
MSITAKE KABISA KUHARIBU UZI HUU
MKIJIFANYA VICHWA VIBOVU TUTAWATULIZA KISHA MKASHITA KWA MODS
MKILETA JEURI TUNAWALETEA KIBURI TUH.
Nafikiri niishie hapa, maana shida yako kubwa umejawa na hila, unaongea kama mtoto wa darasa la sita, sijaona hata pointi moja uliomjibu gwiji huyu zaidi ya kung'ang'ania kosa moja tu, na maswali unayakimbia, naam, nilijua huna uwezo wa kulijibu swala langu...